LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,899
- 37,699
- Thread starter
- #21
Hhahahahahahahaha looh!!
Babu Asprin tangu arudi kutoka kunywa mbege safari hii amekuwa mpoleee....
Wacha nikuwekee mambo hadharani hapa mchana kweupee na wengine nao waone na wasikie.
Kasinde aka Kasie aka mama crush aka Mahaba Matata na aka nyingine kibaooo ni mwanamke halali wa Dadii Kitoko....
Huyu Dadii ni memba wa humuhumu JF ila sio Asprin Asprin ni Babu yangu aka Big Sam aka dawa ya kutuliza maumivu.
Iko siku isiyo na jina wala namba Dadii atakuja hapa jukwaani na kujidhihirisha kuwa yeye ndo anamuweka Kasie mjini na mavacation ya kila aina.
Nampenda sana Dadii sana sana tena sanaaa yaani sijui niseme kwa ukubwa gani ionekane maepnzi yangu kwa Dadii ni ya sayari nyingine.......
Ukifatilia nyuzi za Kasie asilimia 90 ni maelezo ya Kasie na Dadii na ni Mahaba mwanzo mwisho. Niko hivyo hata kwenye ulimwengu wa nje....
Namfurahia Dadii vile tunaishi kila mmoja ni mchokozi kwa mwenzie.... yaani acha tuu nisiseme mengi. Atapita na hapa atasoma, sanasana anaweza kuweka like akijisikia.
Mabusu teletele kwako Dadii wa Kasie, mmmuuuhaaaaa!!!!!!
Sasa LIKUD mdogo wangu, kuwa mpole tuu siwezi muacha Dadii labda yeye aniache mimi...
K' Matata.
Umemtetea sana Daddy basi ngoja nikae pembeni maana hapa duniani naogopa vitu viwili tu, Mungu na mwanamke alive kwenye ndoa