ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,465
- 67,478
Eti eenh?Fanya kweli na sisi tumtafutie babu vitukuu
Eti eenh?Fanya kweli na sisi tumtafutie babu vitukuu
Ahsante babu yanguUkiona hivyo ujue unapendwa na kukumbukwa na babu
Yeah itapendeza, babu ameshaweka baraka zake.Eti eenh?
Hahaha wewe babu unaniingiza kwenye makoloni ya watu hiyo kazi basi niachie tu mwenyewe [emoji3][emoji3]
Ewaaa,kazi kwetu sasaYeah itapendeza, babu ameshaweka baraka zake.
Woyooooooo.. Mambo sindo hayo [emoji4][emoji4][emoji4]Ewaaa,kazi kwetu sasa
Woyooooooo.. Mambo sindo hayo [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata kutoomba ni kazi mkuu tena huwezi kuifanya bila kuvua shati
Usinuzungushe bana hayo mambo ya watoto [emoji5][emoji4][emoji4]au ulitaka nikuzungushe kidogo babe?[emoji23]
Usinuzungushe bana hayo mambo ya watoto [emoji5]
Shukrani bae kwa kunielewaHahahaha sawa
Heri ya mwaka mpya mwallu mpenzi unepotelea wapi jamaniHeri ya mwaka mpya ankal
Nisipokuelewa wewe nitamuelewa nani hun[emoji847]Shukrani bae kwa kunielewa
Hahahaha babu bwana
Nipo ankal.siku nyingi aisee
Sawa[emoji23]usikubali kuuzwa