Nilijua Hujui hata kusoma katiba , ndo inatajwa hivyo ??nisomee katiba inasemaje kifungu cha 30
mkiambiwa nyie ni wajinga mue mnaelewa, mlikua mnafuata mkumbo bila kusoma katika inasema nn kuhusu maadamano! basi utekaji ni haki yenu nchi hii inaongwa kwa SHERIA na sio mihemkoNilijua Hujui hata kusoma katiba , ndo inatajwa hivyo ??
Kifungu Cha 30 ibara gani ??mkiambiwa nyie ni wajinga mue mnaelewa, mlikua mnafuata mkumbo bila kusoma katika inasema nn kuhusu maadamano! basi utekaji ni haki yenu nchi hii inaongwa kwa SHERIA na sio mihemko
😂😂😂nenda kale kitambi hakifugwi mtandaoni
Siku hiyo tupewe silaha na wao wawe na silaha tuone nani mshindi. Najua kinachowapa kiburi cha uzima askari feki wa Tanzania ni silaha wanazomiliki.Hayo ni maoni yako ila ukweli ni kuwa tuna jeshi zuri katika maeneo mengi ya kijeshi, ila kwasababu walidhibiti maandamano ya wezi na waharibifu wa mali unaliona taahira. Sasa ngoja siku ukitoka ikawa imepigwa marufuku uone utaahira wao😃😃😃😃
Angalia siku zile mlizofungiwa mitandao nilipost posts ngapi utakuwa umepata jibu, hata passport ya Bongo nasubiri ikubalike dual citizenship ndiyo niichukue ila Bongo ni nchi yangu na nitaipigania tooth and nail.cha kwanza wewe uko bongo, alafu hawakuandamana walienda kupiga kelele kwenye milango ya ofisi wako , kenya nao walikua na kenya walipigwa wakawekwa ndan na story yao imeishia apo! however katika wote walioandamana huezi kuta tajiri pale ni maskini tu ambao hawajielewi maaana kuan mwingine maskini lakini kakosa nyenzo tu ila ana kawazo cha kutoka,
Chawa at your most pathetic level, ukishindwa arguments una-expose upumbavu wako. Chawa wote mnafanana kiwango chenu cha upumbavu.stupid, cry more
Uipiganie mtandaoniAngalia siku zile mlizofungiwa mitandao nilipost posts ngapi utakuwa umepata jibu, hata passport ya Bongo nasubiri ikubalike dual citizenship ndiyo niichukue ila Bongo ni nchi yangu na nitaipigania tooth and nail.
nan amepanga kuchoma nchi ?Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako