PostGE2025 Appreciation post kwako CDF Jacob John Mkunda

PostGE2025 Appreciation post kwako CDF Jacob John Mkunda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kura feki zilijazwa nyingi tu at every polling station, aweke mgombea kwani naye ana wangombea wake au wewe ndiyo among fools wanaodhani kila anayepigania human dignity, human rights, Tanganyika sovereignty, justice pamoja na transparency and accountability anakuwa affiliated na upuuzi wenu wa vyama vya siasa?
Try to be sensible(that’s if you have sense) at least for once.
Wajinga wakihitajika utaitwa
 
Fanya kazi kwa bidii upunguze kulambalamba watu matako. Tabia ya uchawa na kusifia sifia wanaume wenzako kunasiku utaombwa kinyeo
Wajinga wakihitajika utaitwa
 
ungejua mwenzako ndo kwanza anakula upepo bungeni, 98% wote wapo ndan wamemskiliza kamanda wao
Wapumbavu kama wewe ndio mnafanyaga nchi ziingie civil wars, huwezi kuwa na akili ukasifia utekaji, uuaji na wizi wa chaguzi unaofanywa na Samia na wahuni wenzake, mnaletea shida hata future generations zenu kwa akili mbovu kama zako
 
Sisi sio wajinga kama mlivo nyie, na tupo apa kulinda nchi yetu kwa gharama zote hatuwezi kukaa nchi ambayo mnakaa mnajiwekea matamko, na pia serikali sio kijiji chenu
 
Sisi sio wajinga kama mlivo nyie, na tupo apa kulinda nchi yetu kwa gharama zote hatuwezi kukaa nchi ambayo mnakaa mnajiwekea matamko, na pia serikali sio kijiji chenu
Sema unalinda maslahi ya Abdul na mama yake shangingi Samia. Useless chawa.
 
Jacob John Mkunda is a Tanzanian military officer who currently serves as Chief of the Tanzanian People's Defence Force since 30 June 2022.

Early life​

Mkunda attended the Ruvu Secondary School, where he played on the football team and was involved in student government.[1]

Career​

In February 2020, Mkunda, at the rank of brigadier-general, led the Tanzanian People's Defence Forces' (TPDF) 202nd Western Brigade in Katavi Region in an operation to suppress rebel activity in refugee settlements, leading to weapons seizures and several arrests.[2][3] By 2021 he was chief of the TPDF's training staff.[4]

On 30 June 2022 Mkunda was appointed Chief of Defence Forces, replacing retiring General Venance Salvatory Mabeyo
View attachment 3513669
Wageni waliovamia nchi October 29 walipita wapi ikiwa mipaka ililindwa vizuri?
 
Sisi sio wajinga kama mlivo nyie, na tupo apa kulinda nchi yetu kwa gharama zote hatuwezi kukaa nchi ambayo mnakaa mnajiwekea matamko, na pia serikali sio kijiji chenu
Badilisha kwenye jina la Samia na CCM uweke Lisu na chadema, then jiulize kama utawasapoti wakiteka na kuua watu huku wakiiba chaguzi zote na kufunga mwenyekiti wa CCM kwa uhaini
 
Huezi kua na akili ukawa maskini, as long umebaki maskini means hauna akili,
Haujui hata ninaishi nchi gani wala ninafanya shughuli gani, endelea kuamini kuwa kila ambaye hajakupa majukumu ya kuwa uwe chawa wake ni maskini.
 
ungejua mwenzako ndo kwanza anakula upepo bungeni, 98% wote wapo ndan wamemskiliza kamanda wao
Kwa hali ilivyo huku mtaani huyo bibi haamini kama hawa ndio watz.

Anajifungia tu ndani kama nguchiro
 
Only fools say in their hearts, There is no God.
 
Wametishiwa tu wameanza kuachia ushuzi na muharo juu! 😂.
Kwa kweli Tanzania hatuna vyombo vya ulinzi, bali Kuna vyombo vya chakula na vya muziki.
Hadithi hii kawaambie Waganda na Wamalawi, watakuelewa. Jifundishe kujua historia kwani huenda bado ni mtoto mdogo!
 
Hadithi hii kawaambie Waganda na Wamalawi, watakuelewa. Jifundishe kujua historia kwani huenda bado ni mtoto mdogo!
Wanajeshi wa Tanzania wa miaka ya 90 kwenda nyuma walikuwa vizuri kwa kiasi fulani (japo siyo sana), tofauti na Hawa wa sasa hivi amabao wanaweza kuvunja matofali, kubaka, kuwarusha kichurachura wazee pamoja na kugawa vinyao vyao kwa marijali.

Pia kumbuka kipindi ke baadhi ya waganda walikuwa wanatuunga mkono, la svyo tungenyooshwa kama rula.
 
Back
Top Bottom