Yes asante kwa kunisahihisha, ila ukiangalia data za mwaka jana Ford kaanza anafuata Toyota ndo Chevrolet, na mwaka huu si ajabu itakuwa same.Ford ndie anaongoza Toyota ni duniani kwa ujumla ila ukija soko la marekani sio kihivyo. Brand kama Ford, Chevrolet kwa marekani ndizo zinauza sana na wana magari mengi sana ya kisasa ambayo Toyota hafui dafu inapokuja swala la performance.
Utoto unawasumbua.sawa mfungwa tajiri
Utoto bado unakusumbua.Usichokijua nikwamba kumpangia mtu sehemu za kutembea ni mfungwa huru
Tatizo hamjaona watu wanavyozitumia hizo simu ndio maana mnahangaika kuongea upuuzi eti Gereza, Nyinyi kubadilisha theme na kudownload nyimbo kwa Simu mnaona ndio uhuru wa kutumia simu🤣🤣Sawa, mkubwa
Sawa ww si ndio unajua kutumia simuTatizo hamjaona watu wanavyozitumia hizo simu ndio maana mnahangaika kuongea upuuzi eti Gereza, Nyinyi kubadilisha theme na kudownload nyimbo kwa Simu mnaona ndio uhuru wa kutumia simu
Tatizo hamjaona watu wanavyozitumia hizo simu ndio maana mnahangaika kuongea upuuzi eti Gereza, Nyinyi kubadilisha theme na kudownload nyimbo kwa Simu mnaona ndio uhuru wa kutumia simu
Yes ni Sawa. Na ndio maana wengi wanaona kama Apple devices zinawabana kumne ni kutokana na Technological developments za maeneo wanayoishi ndio Tatizo. Mtu anasema Iphone na Ipad ni Gereza wakati kuna Yatch ma Boat Captain anaaccess Bridge kwa kutumia Iphone na Ipad. Sometimes ukisoma upuuzi unaoandikwa humu kuhusu Apple Devices unagundua ya kwamba tatizo ni ushamba wa vitu.tafiti zinasema waafrika tunatumia 14% tu ya matumizi simu inayoweza kufanya.
basi kama ni hivi basi wateja wa apple watakuwa na 3%
poleYes ni Sawa. Na ndio maana wengi wanaona kama Apple devices zinawabana kumne ni kutokana na Technological developments za maeneo wanayoishi ndio Tatizo. Mtu anasema Iphone na Ipad ni Gereza wakati kuna Yatch ma Boat Captain anaaccess Bridge kwa kutumia Iphone na Ipad. Sometimes ukisoma upuuzi unaoandikwa humu kuhusu Apple Devices unagundua ya kwamba tatizo ni ushamba wa vitu.
🤣🤣🤣pole
endelea kua mfungwa na gereza la milioni 10