Apple kuwapa watumiaji wake uhuru wa kutengeneza simu zao wenyewe

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
9,324
2,000
Ford ndie anaongoza Toyota ni duniani kwa ujumla ila ukija soko la marekani sio kihivyo. Brand kama Ford, Chevrolet kwa marekani ndizo zinauza sana na wana magari mengi sana ya kisasa ambayo Toyota hafui dafu inapokuja swala la performance.
Yes asante kwa kunisahihisha, ila ukiangalia data za mwaka jana Ford kaanza anafuata Toyota ndo Chevrolet, na mwaka huu si ajabu itakuwa same.
Ukiangalia comments za wazungu wanasema Japanese cars ni reliable na easy to mantain.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
25,892
2,000
Tatizo hamjaona watu wanavyozitumia hizo simu ndio maana mnahangaika kuongea upuuzi eti Gereza, Nyinyi kubadilisha theme na kudownload nyimbo kwa Simu mnaona ndio uhuru wa kutumia simu

tafiti zinasema waafrika tunatumia 14% tu ya matumizi simu inayoweza kufanya.

basi kama ni hivi basi wateja wa apple watakuwa na 3%.
 
Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
2,734
2,000
tafiti zinasema waafrika tunatumia 14% tu ya matumizi simu inayoweza kufanya.

basi kama ni hivi basi wateja wa apple watakuwa na 3%
Yes ni Sawa. Na ndio maana wengi wanaona kama Apple devices zinawabana kumne ni kutokana na Technological developments za maeneo wanayoishi ndio Tatizo. Mtu anasema Iphone na Ipad ni Gereza wakati kuna Yatch ma Boat Captain anaaccess Bridge kwa kutumia Iphone na Ipad. Sometimes ukisoma upuuzi unaoandikwa humu kuhusu Apple Devices unagundua ya kwamba tatizo ni ushamba wa vitu.
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
11,583
2,000
Yes ni Sawa. Na ndio maana wengi wanaona kama Apple devices zinawabana kumne ni kutokana na Technological developments za maeneo wanayoishi ndio Tatizo. Mtu anasema Iphone na Ipad ni Gereza wakati kuna Yatch ma Boat Captain anaaccess Bridge kwa kutumia Iphone na Ipad. Sometimes ukisoma upuuzi unaoandikwa humu kuhusu Apple Devices unagundua ya kwamba tatizo ni ushamba wa vitu.
pole
endelea kua mfungwa na gereza la milioni 10
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom