Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
Apple wameleta feature mpya kwa ajili ya afya ya macho kwa watumiaji wa Simu za iphones na ipad. Itaweza kukusaidia kulinda macho kutokua makavu wakati unatumia simu.
Feature inaitwa " screen distance " inasaidia kuweza kumlinda mtoto au mtu yeyote anayetumia kifaa cha iphone kulinda macho yake kupitia anavyotazama vitu kwenye simu.
Apple wanasema ni muhimu mtu kutumia simu kwa umbali wa inches 12 iwe mbali na macho yake , hata ivyo ni ngumu maana watu wengi wamejizoesha tabia ya kupenda kutumia simu karibu sana na macho.
Kupitia iOS 17 feature hii itaweza kulinda macho dhidi mwanga unaotoka kwenye simu Ili kuwa salama kwani wakati unatumia itaweza kupima umbali wa simu pamoja na macho yako.
Kwaiyo camera haitaweza kuchukua Chochote kuanzia picha au video ikiwa hii feature itakua On.
Ingia setting kwenye iphone Yako Kisha fanya hivi >> chagua screen time >>chagua screen distance>>gusa continue >> weka On.
Baada ya hapo ikitokea umesogeza simu yako karibu basi iphone au ipad yako itakupa taarifa simu yako Iko karibu sana na macho yako.
tafadhari weka mbali Ili kuwa salama Kila ukisogeza karibu utaweza kufanya Chochote mpaka ikae mbali na macho yako.