Apple car watanunua wachache kama BugattiKama wametoa vitambaa vya kupangusia simu wanaviuza $25 hiyo kit ya kufanya repair nadhani wataiuza $600.
Ikija apple car nadhani tesla atapata tabu sana
Watu wana mahaba na apple mkuu we acha. Mimi nilishangaa kitambaa kimefungwa hafi kwenye box tena kimekunjwa kwa style moja matata na kinauzwa $25 na wameuza kama njugu.Apple car watanunua wachache kama Bugatti
ukisikia demu anataka iPhone 13 mlengeshe kwangu nazigawa 😁😁😁😁😁gereza lenye ubora,
hahahaha hata demu wa Vingunguti ?ukisikia demu anataka iPhone 13 mlengeshe kwangu nazigawa 😁😁😁😁😁
😳😳😳 awe mzuri pisi kali msafi trakoo faida ya ziada tepe tepe lile sio gumuhahahaha hata demu wa Vingunguti ?
Hivi ni uhuru upi mnaouzungumzia wa kwenye Android Phones? Kubadilisha Font Colours, Memory Card , Themes na Kudownload Cracked Apps au?gereza lenye ubora,
sawa mfungwa tajiriHivi ni uhuru upi mnaouzungumzia wa kwenye Android Phones? Kubadilisha Font Colours, Memory Card , Themes na Kudownload Cracked Apps au?
Umaskini ni shida sanaa aisee...
Usichokijua nikwamba kumpangia mtu sehemu za kutembea ni mfungwa huruHivi ni uhuru upi mnaouzungumzia wa kwenye Android Phones? Kubadilisha Font Colours, Memory Card , Themes na Kudownload Cracked Apps au?
Umaskini ni shida sanaa aisee...
Watu wana mahaba na apple mkuu we acha. Mimi nilishangaa kitambaa kimefungwa hafi kwenye box tena kimekunjwa kwa style moja matata na kinauzwa $25 na wameuza kama njugu.
Huenda hata gari akauza sana maana anaiba ma engineer wa tesla
Obviously ataenda kupambana na tesla sidhani kama kalenga kutengeneza gari za level kama ya buggat.gari sio simu,jiulize kuna PC ngapi za mac ofisini mkuu mbali na kuwa bora??
kwenye magari kule ubora na uzuri sio kigezo cha kuuza,bali ni bei ndio inaamua.kuna gari kali na bora ila sababu tu zinauzwa millions of money watu zinawashinda,zinabaki kuwa za watu wachache tu.
sasa kwa tabia ya apple,tutegemee atakaa level za akina maybach,wagon,lambo,RR,buggat,teslank ambako huko mahaba hayafanyi kazi ni hela tu ndio zinaongea.
ili asumbue wote hapo gari zake ziwe za bei chee,kitu ambacho sio utaratibu wake.
Nliona hizi case nikacheka. Hapo ndipo utajua siku hizi binadamu tunajaribu kuwaimpress watu kwa kufake mambo mengi
Ford ndie anaongoza Toyota ni duniani kwa ujumla ila ukija soko la marekani sio kihivyo. Brand kama Ford, Chevrolet kwa marekani ndizo zinauza sana na wana magari mengi sana ya kisasa ambayo Toyota hafui dafu inapokuja swala la performance.Obviously ataenda kupambana na tesla sidhani kama kalenga kutengeneza gari za level kama ya buggat.
Kwenye magari ubora wa gari una matter sana. Hivi unajua kwamba toyota anaongoza katika kuuza magari marekani akifuatiwa na ford? Ukisoma sababu wanazotoa, wanasema gari za toyota ni reliable sana tofauti na za makampuni ya ndani.
Yes, gari siyo simu ila sidhani kama wamelenga soko hilo la akina buggat, nadhani watakuwa wanalenga soko la watumiaji wa kawaida hao hao tesla like.
Ngoja tuone