Apple Iphone 12 is finally here

Apple Iphone 12 is finally here

Na mkuu super amoled ni brand ya Samsung, Apple hata akitumia same display toka Manufacture mwengine kama Lg haruhusiwi kuiita Super Amoled Ataiita Tu Oled.

Zikianza teardown za kina Ifixit tutajua kila kitu.

Mkuu nimeangalia
 
Lazima niinunue hii kitu, maana wamerudi kwenye muundo ninaoupenda, sasa ukiwa na iphone 12 utajulikana siyo kama version zingine zinafanana na samsung, hakika nimefurahi sana tena sana kama ule ushindi wa Dkt Magufuli utakavyokuwa hapo 28.10.2020
 
Lazima niinunue hii kitu, maana wamerudi kwenye muundo ninaoupenda, sasa ukiwa na iphone 12 utajulikana siyo kama version zingine zinafanana na samsung, hakika nimefurahi sana tena sana kama ule ushindi wa Dkt Magufuli utakavyokuwa hapo 28.10.2020
Mnanunua simu ili mjulikane. Ila ni free world nakupongeza kuwa na ndoto hii
 
Toleo la nyuma lipi mkuu? Maana 11 pro na 11 pro max pia zina oled retina.

Kilichobadilika mwaka huu ni mpaka regular 12 ina oled, 11 na Xr hazikuwa na Oled.

Mkuu chief ndo nimemaliza kusoma reviews mbalimbali za wadau kuhusu hiyo brand mtandaoni.

Asilimia 95 wamelaumu sana kukosekana kwa 120hz display hii ni nini? Na ni upi ubora wa hyo 120hz maana hata sielewi japo kila mchangiaji kashangaa... kingine wamelaumu kuhusu battery na notch wewe wazungumziaje?
 
Yani katika discussion ninazofeli Basi ni discussion ya cm. Anyway Nina laki 2 na nusu nataka simu nzuri with good quality camera na storage kubwa. Nishaurini kesho niifate
mtz one
Mimi nadunda na infinix hot 8 lite karibia mwaka Sasa. Nilinunua kwa 220,000 Mbeya.
Sioni anachonizidi mwenye i4n daaadeq
 
Back
Top Bottom