Apple Iphone 12 is finally here

apple hana marketshare kubwa unless unamaanisha USA, na mtu kununua simu used ama refurbished hakumuongezei hela apple wala kumuongezea marketshare sababu ile simu ilishauzwa na imeshahesabiwa, huwezi hesabu mara 2.

na xiaomi ameshagonga 11% bado asilimia moja tu kumpita Apple kimauzo, pengine mwakani akawa wa 3 ama 2 kimauzo zaidi duniani. na simu zake nyingi individually zinauza sana, mfano redmi note 8 imeuza zaidi kuliko iphone se miezi iliopita japo ni simu ya zamani.
 
Hii na iPhone 5 ndo the best looking iPhones ever...ukiachana na hilo li notch🤦🏽‍♂️
Watu watakupinga, lakini huo ndo ukweli, SE ya zamani, 5s ziko na mwonekano wa kibabe sana
 

Mkuu hujajua biashara hii inapoelekea, tunaelekea kwenye data ownership , he who owns data owns the world. In the near future Apple watabenefit zaidi kwenye iCloud subscriptions kuliko kuuza simu. Google wapo hapo tayari fb pia. Ndo maana nikasema mauzo ya refurb still yata create market share tena vizuri tu
 
Sio iCloud subs tu hata hayo ma Apple+ n.k. na ndio maana anatoa mpk simu zenye unafuu kidogo ili kuongeza market share yake
 
Sio iCloud subs tu hata hayo ma Apple+ n.k. na ndio maana anatoa mpk simu zenye unafuu kidogo ili kuongeza market share yake
note kitu kimoja tu Apple inc wamerun out of innovation....CEO wa Apple wa sasa sio business + marketin intelligence.....kuna maswali aliyowahi ulizwa kwenye interview flan...yan alijibu very weak mpaka akawa ananasa kwenye mitego ya yale maswali.....tech biz kwa miaka ya hivi karibuni inaendeshwa zaidi kwa kuavoid scandal + kupuuza reviews za customers na wakifeli hapo kifo chao kipo karibu....watajikuta wanawaachia market share Xiaomi na samsung
 
Huawei is finished mkuu, kwa report za mauzo zilizopita real deal ni Xiaomi.

Na itakuwa Ngumu kwa Apple kupambana na Xiaomi kwenye midrange, hasa kwenye nchi zetu za kimasikini, maana hawa jamaa wanauza simu kwa cost price.
Daaaah. Itabidi nianze kuwaangalia vizuri hawa majamaa maana mi nimeloea zangu Huawei sana. May be wanaweza kunibadilisha hawa majamaa nikaanza kuwaangalia vizuri
 
Daaaah. Itabidi nianze kuwaangalia vizuri hawa majamaa maana mi nimeloea zangu Huawei sana. May be wanaweza kunibadilisha hawa majamaa nikaanza kuwaangalia vizuri
Xiaomi hawafikii huawei kwenye kutengeneza premium device, sema kwenye midrange na lowend Xiaomi wapo vizuri sana. Na pia Accessory wapo vizuri wanatengeza vitu vidogo dogo vingi sana hadi toothpick hawajaacha.
 
Xiaomi hawafikii huawei kwenye kutengeneza premium device, sema kwenye midrange na lowend Xiaomi wapo vizuri sana. Na pia Accessory wapo vizuri wanatengeza vitu vidogo dogo vingi sana hadi toothpick hawajaacha.
Nakusoma man. But in comparison ya product za simu Huawei na Xiaomi wanaweza kuwa wanakaribia walau kiduchu?
 
Ninefuatilia sana huu uzi. Kikubwa ninachokiona ni "Mahaba" na utofauti wa matumizi ya simu kati ya mtu na mtu. Binafsi nimetumia sana Apple devices na Android devices kwa wakati tofauti na kulingana na matumizi yangu naweza kusema zote zimekidhi haja. Kikubwa nilichojifunza ni kwamba I phones sio Ideal kwa watu wachokonozi wale wanaopenda kuhangaika na vitu kwenye simu mara sijui kudownload miziki mara kuswitch apps nk. Kama wewe ni mtu wa aina hiyo hutaipenda I phone. Android ni Ideal kwa wale wanaopenda kuhangaika na Simu naweza kusema inakupa uhuru wa kuchokonoa vitu. Sasa ni muhimu kujua nini matumizi yako katika simu na sio kununua tu simu sababu inapendeza kiganjani au social status. Vilevile wabongo wengi bado tuna utoto sana kwenye mambo ya simu nk.
 
Badilisha kiswahili sio wanaopenda kuhangaika na simu bali wanaopenda kuwa huru kutumia simu watakavyo na wawezavyo huku wakizifurahia
 

Ndomana mnakuwa hacked
 
Badilisha kiswahili sio wanaopenda kuhangaika na simu bali wanaopenda kuwa huru kutumia simu watakavyo na wawezavyo huku wakizifurahia

Me nafurahia kutumia iphone na kila kitu nafanya hakuna kitu ambacho sifanyi
 
Niliagizwa kioo cha Samsung s8+ nikahisi alieniagiza atadhani nimempiga kumbe ndo bei zake wakati kioo cha iPhone 7 nilinunua kwa elfu 60 tu. Ila hapo kwenye uimara apple nimewakubali niku-update tu ngoma inajipa siku zinasonga
 
Huawei haiwezi kufa , Waliona hilo la marekani kabla ndio maana wakawa na OS yao na hivi sasa wanajizatiti upande wa Semiconductors huenda baadae wasinunue tena Chipset kwa TSMC.

Mi nasubiri tar 22 watoe dude lao Mate 40 liwakimbize kama kawaida


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…