Kiongozi Maxence Melo uku Tapatalk mbona hampatikani tena? Wengine ndo platform yetu pendwa ile.
Tafadhali rudini mkuuView attachment 3651552
Mimi nasubiria hii changamoto itatuliwe ndio nipakue app
Hii unaipataje mkuuKiongozi Maxence Melo uku Tapatalk mbona hampatikani tena? Wengine ndo platform yetu pendwa ile.
Tafadhali rudini mkuuView attachment 3651552
Asante kwa hii feedback. Inafanyiwa kaziApp ni nzuri sana ila bado ina mapungufu, inaficha uwanja wa kukometi wakati unaandika ujumbe, yaani uwanja unafunikwa na keyboard unaandika kitu hukioni.
Ipo play store, binafsi nimekuwa nikiitumia zaidi ya miaka 10 sasa kua access Jamii Forum kwakuwa napenda mpangilio wake.Hii unaipataje mkuu
Katika app zote hiyo kwangu ndio the best, japokuwa nimeshazoea browser nikipata hiyo nitafurahi sanaIpo play store, binafsi nimekuwa nikiitumia zaidi ya miaka 10 sasa kua access Jamii Forum kwakuwa napenda mpangilio wake.
Ila tangu izi updates naona access haipo tena
Cc Maxence Melo tusaidie tafadhali
Asante sanaAsante kwa hii feedback. Inafanyiwa kazi
💪Imefanyiwa marekebisho.
Kwa wale wa Android, tayari kuna mabadiliko. Ni bahati mbaya Google hawajaonesha kama kuna update; hivyo tunashauri mtu kufuta App iliyokuwepo na kuiweka upya. Most reported bugs zimekuwa attended.
Asanteni kwa maoni yenu
Sawa kiongozi ngoja tuoneFor Android users:
Kuna update, tunaomba mfanye update
View attachment 3654511
Kwa iOS (iPhone users) - kuna update imefanywa na nyingine ipo mbioni this weekend.
Asanteni kwa maoni ya kuboresha
Kwangu bado haijaleta updates mpyaFor Android users:
Kuna update, tunaomba mfanye update
View attachment 3654511
Kwa iOS (iPhone users) - kuna update imefanywa na nyingine ipo mbioni this weekend.
Asanteni kwa maoni ya kuboresha
Ukiweza, ondoa kabisa current app na pakua upyaKwangu bado haijaleta updates mpya
Nimefanya hivyo bado lile tatizo la kuficha maneno linaendeleaUkiweza, ondoa kabisa current app na pakua upya
Bado inafanya kazi ni kama vile old version wamezipiga ban?Mi nmeamua kurudi ya zamani aise,nmeitafuta APK nimeipata..nimeiondoa hii mpya
Hii app mpya notification zinakaa sehem gan mkuuPlaystore itaonekana muda si mrefu. Zote zimetoka kwa wakati mmoja