App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

App mpya ina bugs nyingi sana, members niliowaweka ignore list contents zao zinaonyeshwa, pia binafsi naona mtiririko jinsi comments zinavyoonekana inachosha kusoma. Sasa hivi natumia browser tu
Kwanza kilichonifanya nitoke kule ni sehemu ya kutype imefichwa na keyboard

Lakini wakiiboresha itakuwa bomba sana,tuwape muda siku zote mambo mapya yana changamoto sana
 
Back
Top Bottom