KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,516
- 89,013
Umbea tuHiyo bahati inidondokee na mimi jamani.!
Umbea tuHiyo bahati inidondokee na mimi jamani.!
Basi JF watakua na developer wa bovu sana kama swala basic kama hili linatokea kwenye super brand company kama hii...This should be fixed aisee, hii ni crisis.
ChaiYaani ni watu wawili wanachat , ila meseji zimekuja kwangu wakati sijawahi kuchat na watu hao. Na sio convo moja karibia tano,
Mimi nilikuwa natumia browser lkn juzi Kato naona app ya zamani ikapop up na kuniambia ni install nikafanya hivyo so naishi nayoApp ya zamani unaipata wapi? nikienda play store nakutana na App mpya tu msaada
ni yangu mkuu si ya bluu mpauko, huku kwangu siioni tafadhari nirudishieKweli hata mimi nimepata inbox ya mtu Jana
Kwani huna dushelele kubwa? Yaani unakibamia?!Ndo mana nmepokea message inasema una dushe kubwa nikabakiii hiiiiiih
Mpaka kule Facebook yule Admin wao anaonekana ana Changamoto kichwani.Kwa kweli app iliyopita ilikuwa better kuliko hii!
Kitaalamu ningewashauri msikimbilie huko kwenye apps, mtakuja kuvuliwa kwa wingi kama dagaa.This should be fixed aisee, hii ni crisis.
VC is not for beginnersBasi JF watakua na developer wa bovu sana kama swala basic kama hili linatokea kwenye super brand company kama hii...
Kwamba wanavibe sio 😅VC is not for beginners
Vita.Ni PMs sio PM's