App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

Umeallow notification kwenye app settings

1000136908.jpeg
 
Kwangu zote lazima niulizwe nijue inataka kuniingilia wapi.. wakati naipakua inataka kuingia wapi.. Hayo ya setting kuhangaika kila baada kazi unayo.. Jiongeze... Hakuna ujanja kama umekubali idake kwanza halafu eti utoe.. 😅😅😅😅

Kumbuka ya zamani miaka ileeeee utofauti mkubwa kiuboreshwaji kizaidi... Ila mie napenda browser natumia kwa mengi kurahisisha upekuzi wangu humu wa kusoma na kuburudika 🤗
Najua apps zote huwa zinauliza. Ila ni mbwembwe tu.

Wakitaka wanaingia mahali popote na kubeba data wanazozitaka.

We unadhani kwa nini Mmarekani kaipiga ban Tiktok nchini mwake?

Ni kwa sababu anajua Mchina anaweza access data muda wowote, hata kama mtu ameweka "NO PERMISSION ALLOWED"
Screenshot_20260812_143453_Settings.jpg
 
NOTE: Kasoro zote zinazokuwa reported hapa, zitafanyiwa kazi Ijumaa na Jumamosi - so, msiache kutupa maoni.

Mnaonitumia PM - Asanteni sana
MABORESHO kwenye ios
1, Title ya thread isomeke yote, naona kama maandishi ya title yamekua makubwa sana na kufanya title ndefu isomeke sehemu tu ya mwanzo hivyo kulazimu lazima ufungue thread ili kusoma title yote

2. Notifications, ukifungua tu App hakuna notification unayoiona pale juu
Kimsingi wote tunajua umuhimu wa notifications pale tu unapoingia JF
Lakini pia sijaona settings za kupata notification kwa simu kutoa mlio au ku vibrate

3.Kitufe che DONATE JF kiwepo

4. Thread ziwekwe kwenye pages kama mwanzo.
Sasa hivi thread yenye pages 100k ku scroll hadi kufika page ya 100k kazi ngumu kidogo
Basi angalau kiwepo kitufye cha kupofya kikupeleke kwenye replies za mwisho kabisa chini ambazo ni currently

5. Uki post Thread au reply hakuna option ya kuedit, Quote wala Delete.
(Option ya ku switch kwenye browser iko ok inasaidia sana)

6. Ukitaka kumtag mtu ukianza na @…. Kisha herufu kadhaa haupati option ya majina inayo drop na kufanya Tagging kuwa impossible
 
Back
Top Bottom