mrxtz2026
JF-Expert Member
- Jan 24, 2026
- 328
- 578
Maxence Melo mimi binafsi katika kutumia hii new update nimepata changamoto kazaa.
1. Editing imeondolewa ukikosea kucomment ata neno dogo, au uzi mzima uwezi ku edit kwa app hii mpya, labda urudi kwenye hile ya zamani.
2. Write Reply inajificha chini ya keyboad yqani unachokiandika akionekani mbaka uwe unatoka kwa kubonyeza back button ndo uone kama umeandika kitu gani. (Napendekeza Ukiingia kwenye reply basi kila kitu kuhusu reply kionekane kwa juu na kila unachoandika kionekane hili ukibonyeza neno ambalo silo uweze kulibadirisha kwa wakati )
3. POOL Naandika maneno haya kwa wino mzito kabisa na kuuzunika, kwa masikitiko makubwa maana ni kitu nilichokipenda sana kwenye JF pool imeondolewa na Mabandiko yote yenye Pool, Pools zake hazionekani kabisa.
4. Maswala mengine madogo madogo ni kama vile
• Banner adding button, kwenye app hii mpya uwezi kuweka banner kwenyw profile yakl, labda ubadiriahe avator tu kwa ku upload lakini uwezi kuweka banner.
• Add link haipo sawa (hapa napendekeza mtu akiadd link kwa maandishi ya moja kwa moja mfano, www.katibampya.com basi link iwe clickable na akiamua kubonyeza kitufe cha add link kilicho kwenyw reply basi itokee pop up yenye Kuweka link na Maneno yaani kama ilivyokuwepo hapo awali kwamba unaweza kjweka link nyuma ya maandishi mengineyo.
• Video playing Error, video kwangu haiplay kabisa inaweza alama ya zig zag na aiwezi ku play
• Notification, ukiingia kwenye notification kwenye Profile yako kisha ukagusa Notification moja wapo itasoma kilichokuwemo kama ni reply or whatever but ukifunvuwa tu View Thread inakuja white screen na inabaki hapo milele labda ukate na ku clear na ufunguwe app upya "yaani labda uondoe app kwenye history ya app ulizofunguwa, I mean Android side bar Navigation Pannel"
Mambo niliyoyapenda na ninayopendekeza kwa ujumla wake.
1. Nimepemda kuona Emojis, ni feature mpya kwenye reply uliyoweka ambayo itatuwezesha kuweka emojis kwenye reply zetu.
2. Napendekeza kuwe na kitufe cha kubadirika kwenye kitufe cha THREAD Ndani ya uzi, au bandiko (Thread unayosoma kuna kitufe cha THREAD ) Ambacho kazi yake ni kukuonyeaha kwamba unaweza kwenda next thread, so hapo napendekeza kuwepo na kitufe kingine ambacho unaweza kubadiriaha ili uweze kwenda next Comment section (hapa namaanisha ule mfumo wa zamani wa makundi ya cooments urudi lakini kibonyezeo kiwe na option mbili kama ukitaka kwenda next comment unabadiriaha kutoka THREAD kwenda COMMENTS, so kuanzia hapo unawezaubonyeza next or previous on specific COMMENTS Sections or THREADS.
3. Kwenye Profile napendekeza tuwe na rich Document like reals yaani tuwe na Muonekano wa Theads za mtumiaji na anaweza ku pin up specific thread kwenye profile yake na kuifanya hiyo thread kuwa ju zaidi, (hii itaongeza user experience kwa anaeitaji ku pin bandiko lake kwenye profile yake, pia inaongeza hadhi ya kutokuwa na option za following na kuifanya jamii Forum kuwa jukwaa la pamoja sio jukwaa la kutafuta followers, so hapa unaweza kubadirisha kutoka kuwa following mbaka kuwa Mwanajamii muaminifu, yaani ukimuqekea mtu kitufe cha MWANA JF basi Thread zake zinakuwa rwcommended kwa watu wengi zaidi or anakuwa trusted na sio wingi wa followers, (huu ni mtazamo tofauti kidogo na mitazamo ya wengi lakini inawezekana kuwa ni kitu bora zaidi kama tutatafakari kuhusu hilo).
Kwa uaminifu nitaendelea kuipekuwa taratibu na kupata dosali, na mapendekezo na kugaweka hapa.
asante kwa kutupa nafasi ya kuchangia mawazo yetu katika ukuwaji wa JAMII FORUM.