App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

Blindly 😆
Basi kazi ipo😅... But haya malalamiko ya watu yanawashusha hadhi, maana mtu unashindwa kuelewa ni kwamba hawakuitest kabla ya kuwaruhusu watu waitumie au waliitest wakiwa watu wawili watatu so now watu wanavyoongezeka inaanza kuonesha behavior tofauti?

But all in all kwa issue hiyo ya msg hata mkitest user wawili ikikaa sawa hakuna namna inaweza behave tofauti.
 
Ni ngumu kuwatetea
 
Basi JF watakua na developer wa bovu sana kama swala basic kama hili linatokea kwenye super brand company kama hii...
Technical huwa vinatokea, kosa kidogo tu kwenye design ya RBAC mambo kama hayo hujitokeza, nili develop app ambayo inatumika nilifanya kosa kidogo baahati nzuri nilikuwa nime lock kwenye back end, so haikuvuja vya kutosha
 
Company kubwa kama JF unawezaje kupeleka product mpya sokoni kabla hawajaitest vya kutosha?

Kwa wewe ambae unataka uwe na MVP ili uende sokoni haraka ni sawa ila wao hawana presha yoyote coz wako sokoni tayari na wala wateja wao hawajawahi lalamikia version iliyopo so walitakiwa wachukue muda wote walionao ili waitest vya kutosha na wajiridhishe kabla hawajafanya any updates.
 
Back
Top Bottom