Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Attachments

  • Screenshot_20180308-141519.png
    Screenshot_20180308-141519.png
    172.2 KB · Views: 63
Screenshot_20180319-170706.png
record yangu hii hapa ila kwa sasa ntastop kucheza online sababu hakuna radha mtu anaescape first half tu
 
Haya sasa nimeingia online league nimejipigia kuna mmoja hapo nimempiga goal 4 akakimbia sema nika screenshot mapema thou kuna jamaa mmoja amenipelekesha kinouma tuka draw 4 kwa 4.....

Kwa ambaye yupo tayari anitafute online team yangu ni greenwolves FC vijana wako vizuri kwa online game

Ni hayo tu kwa leo.....
Screenshot_20180319-204337.jpg
Screenshot_20180319-202609.jpg
Screenshot_20180319-201824.jpg
 
Kuna wawili waliweka namba za cm wamechezea kichapo msg hawajibu na simu hawapokei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom