massimu jr
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 542
- 595
jamaa kasepa kudadeki
Nimefika huko mara kadhaa narestart naanza tena chini napanda juu sasa hivi nipo tier3 mpaka keaho jioni ntakuwa tier1 then naanza tena 10Nipo TIER 1
Mimi nakutana nao sana na nawachapa vilivyoToka nianze kucheza online sijawahi kutna na Wabongo aiseeee
Mi wasouth Africa, wa Asia na waamerica ndio napambana nao vizuriMimi nakutana nao sana na nawachapa vilivyo
Ndio nashangaa wanatafutanaje wakati mimi nakutana mara nyingi na waarabu na wabrazil na walatinosIv ukitaka kumtafuta mtu online unamptaje
Wewe jamaa nakutafuta sema ndio hivyo nikiingia nakutana na wachovu wengi ....Mimi nakutana nao sana na nawachapa vilivyo
Muweke na namba za simu ili ukiescape tunakuvuta shatiMkikutana na mtu anaitwa @cyrusmonroe hamtabaki mlivyo
Ukijichanganya unaumia mkuu mm sio wa mchezo mchezoHiki kipigo nilitoa kwa first touch united![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Online namtaka huyu bwana anayejiita dullah sema nikiingia nakutana na wazungu na wakenya......View attachment 724553
Ukikutana na mm utasimulia
Nakutafuta mkuu....Ukijichanganya unaumia mkuu mm sio wa mchezo mchezo