Nabii kibonge
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 277
- 310
wakuuu anaejiweza tupate pambano nishushe upako wa kinabii
Kumbe umeiona hiyo ila sio mbaya maana record inabaki kwako kama mshindi unatumia jina gani baadae nikufuate online mkuuKuna wapumbavu wanakera sana yani wanaingia online then ukiwapiga 3 au 2 wanaescape game dah tunashushana mizuka
Upo online niwashe data....mkuu tupate pambano km unajiwez
wanapunguza msala unadhan kupigw 7 mchezoKumbe umeiona hiyo ila sio mbaya maana record inabaki kwako kama mshindi unatumia jina gani baadae nikufuate online mkuu

Mzee tukutane huko online hakika utakuja kufuta hii statementWw huniwezi ww
subr ntakustuaaaaa mkuuuUpo online niwashe data....
washa data mkuu, nkufungeUpo online niwashe data....
Sijawahi fungwa kizembemkuu tupate pambano km unajiwez
Hilohilo dullyjrKumbe umeiona hiyo ila sio mbaya maana record inabaki kwako kama mshindi unatumia jina gani baadae nikufuate online mkuu
karibuView attachment 719337huyu yupo humuhumu jf jina namstahi
Ukisearch ukabahatika kukutana na "dullyjr" ujue kipigo kimekuhusukaribu