Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Hatar hyo
Psp nzuri sanaa nna grup flan wanatuma game za psp za kwenye simu achana na dream league soccer mi napend game lenye kuanzia mb 800 ndo hua zuri
Hizi ndo games sasa nnazotaka Dream soccer nishacheza saaana wachezaji nikwa develop wote wana 100 nikikutana na kima yoyote napiga 15 na kuendelea yani game imekuwa rahisi saana haina ladha, raha ya game upate challenge
 
9a9542accef64c0b92828be8994f5589.jpg
Daah man Badilisha Jina la team hiyooo tia jina lako, weka logo yako , tengeneza player MPE jina lako tengeneza uwanja upe jina lako ndo utamu wa hiyo game
 
Hizi ndo games sasa nnazotaka Dream soccer nishacheza saaana wachezaji nikwa develop wote wana 100 nikikutana na kima yoyote napiga 15 na kuendelea yani game imekuwa rahisi saana haina ladha, raha ya game upate challenge
hata mi shalichoka mchezaj mmoja anawez funga goli hata kumi yaan unamalza ligi bila kufungwa goli hata moja na unakua na goli zaid ya mia
ukicheza pro evolution soccer au fifa kuna challenge za hatar kama pes ina uefa ukiweka top player hyo ni hatar
 
tuulize siwle wa pes club manager sasa hiv nina miez miwili sijauona ubingwa labda uefa ambayo inaanz leo
 
Imekwama mkuu linauninstal likiinstal halifunguk
Then nenda kwenye file manager -android-obb pale utakuta folder la dream league soccer then cut and paste hilo folder to any place eg backup nk ukifika hapo niambie hakikisha ukisha cut halitakiwi libaki obb fanya hizo procedures halafu urudi hapa niendele nikupe maelekezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom