Apk ya Dream League soccer 2017

78fded4fd51e8ba6881469b5de9c7d40.jpg
Yaani unaifunga team ya ndondo unajisifu? Nenda elite na hiyo timu yako ambayo hata wachezaji ujawaupgrade kashinde hata tano tu ntakuona mwanaume
 
Chief naomba unisaidie kwa hili cm yangu imekuwa rooted ni tecno c8 sasa nime install dream soccer league lakn niki open linasema ,dream soccer league need addition from play store, sasa n nn hch,naomba msaad wako ili niweze cheza hili game

kama unadownload online hakikisha unadownload apk na data zake,

kama unaona vigumu si udownload tu playstore?
 
la mpira? kuna real football, fifa na pes. ila kwa gameplay games za psp ni nzuri kama una pad download ppsspp na rom ya pes ucheze game lenye uhalisia
Msaada chief... Nimedownload apk pamoja na file la obb.. Ila nkifanya installation na nakaiweke obb file.. Bado linaomba kudown load tena data.... Fanya kunielekeza niweke wap obb file liwe detected na game
 
obb file eka foldrr la android then obb, hakikisha obb file folder like linaanzia na com
Asante chief game LA dream soccer league kama ulivyonishaur nimedownload limekubali,,sasa msaada jins ya kucheat ili nipate coin za kutosha na ninunue wachezaj
 
Back
Top Bottom