Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,676
Tupe link basiHatar hyo
Psp nzuri sanaa nna grup flan wanatuma game za psp za kwenye simu achana na dream league soccer mi napend game lenye kuanzia mb 800 ndo hua zuri
Tupe link basiHatar hyo
Psp nzuri sanaa nna grup flan wanatuma game za psp za kwenye simu achana na dream league soccer mi napend game lenye kuanzia mb 800 ndo hua zuri
hlo pes manager unakua kama kocha ila lipo pes lenyew unacheza mwenyewtuulize siwle wa pes club manager sasa hiv nina miez miwili sijauona ubingwa labda uefa ambayo inaanz leo
Ukiclick ok inakata bas hakuna kinachoendeleaPale kwenye go to file and okey option just click okey
ndio lakin me napendelea sana hili la kuwa kama kochahlo pes manager unakua kama kocha ila lipo pes lenyew unacheza mwenyew
Ukimaliza hapo kwenye oke rudi nenda katafute file manager ili uka cut folder pale obb na ku paste folder sehemu nyingine,Ukiclick ok inakata bas hakuna kinachoendelea
ingia play store andika pes club manager utaletewa lenywe lina cover ya dortimund but note unatakiwa uwe na mb za kutosha na space katika simu yako maana lina mb891...then utachagua captain baada ya hapo utacreate timu yako na kuanza ligi huku uki upgrade vitu kama scout house club house fan's house stadium na nk yaan un short lipo reality tupu na players wanashuka viwango wakianza kuzeeka mwishowe wanastaafu sio kama dls wenyw ukimsajili lukaku unacheza naye mpaka unachoka alafu facilities wanayo moja tu stadiumHebu niambie mkuu nalipataje hili game?
Safi mkuu,vip hivii hili game unaingia ground kabisa na unachezesha wachezaji au ni unapanga kikosi thenu linacheza linatoa matokeo, halipo mithili ya TOP ELEVENingia play store andika pes club manager utaletewa lenywe lina cover ya dortimund but note unatakiwa uwe na mb za kutosha na space katika simu yako maana lina mb891...then utachagua captain baada ya hapo utacreate timu yako na kuanza ligi huku uki upgrade vitu kama scout house club house fan's house stadium na nk yaan un short lipo reality tupu na players wanashuka viwango wakianza kuzeeka mwishowe wanastaafu sio kama dls wenyw ukimsajili lukaku unacheza naye mpaka unachoka alafu facilities wanayo moja tu stadium
hili huchezeshi hili linataka kufanana na top eleven but hili kuna 3d na 2d kule kuna 2d only...unapanga kikosi then unakuwa unaplay season kuna mech 18 ukimaliza season kabla hujaanza seasom mpya scout anakuleatea list ya world players ambapo utasajili kutokana na mahitaji yakoSafi mkuu,vipi hili game unaingia ground kabisa na unachezesha wachezaji au unaache linacheza linatoa matokeo halipo kama TOP ELEVEN
Safi mkuu,vip hivii hili game unaingia ground kabisa na unachezesha wachezaji au ni unapanga kikosi thenu linacheza linatoa matokeo, halipo mithili ya TOP ELEVEN
Linafanana na top elven,nimecheza sana top elevenmkuu huo ndo mji wangu nipo professional 3![]()
![]()
Ok ngoja nifanyeUkimaliza hapo kwenye oke rudi nenda katafute file manager ili uka cut folder pale obb na ku paste folder sehemu nyingine,
me mwenyw nimecheza top eleven tatiz players wanachuka morale fasta na wengine wanastaafu per seasonLinafanana na top elven,nimecheza sana top eleven
Tayari mkuu nijuze kinachoendeleaUkimaliza hapo kwenye oke rudi nenda katafute file manager ili uka cut folder pale obb na ku paste folder sehemu nyingine,
Ume cut na kupeleka kwenye folder lingine,sasa nenda ka unstall lile game ulilo install,halafu rudi pale ulipo paste lile folder la DSL karudishe lile file kwenye obb na install hapo hapo then kalifungueTayari mkuu nijuze kinachoendelea
Maelezo yako nimeyaelewa ila nilifikia pale ktk file la obb nikilifungua nakuta lipo tupu yaan empty,Ume cut na kupeleka kwenye folder lingine,sasa nenda ka unstall lile game ulilo install,halafu rudi pale ulipo paste lile folder la DSL karudishe lile file kwenye obb na install hapo hapo then kalifungue
Maelezo yako nimeyaelewa ila nilifikia pale ktk file la obb nikilifungua nakuta lipo tupu yaan empty,
Kama lipo tupu ina maana hilo game huja downloadMaelezo yako nimeyaelewa ila nilifikia pale ktk file la obb nikilifungua nakuta lipo tupu yaan empty,
Unatakiwa udownload game kwanza playstoreMaelezo yako nimeyaelewa ila nilifikia pale ktk file la obb nikilifungua nakuta lipo tupu yaan empty,