Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

2c0f1063642063bc2a19d3a40a3f777d.jpg
0076c7e334ff08b87c592de67ed12ed6.jpg
4a3c1e6a9a4d2293829412e6ca50baf6.jpg
2b5e08c202f67d38d3b0557dac2bfb21.jpg
Sasa hivi nacheza Dream League Online ndio inachangamoto zaidi.
Mkuu unaweza kutusaidia process ya jinsi ya kucheza multi-player?
 
Ka tecno kangu c8 cjui nikaroot mana mm ni mgonjwa wa hii game toka ile ya 2015 tatizo ni upatikanaji wa coin ni changamoto kwa hii game vission ya 2016 na 2017 yaani wanazitoa chache mno alafu wachezaji bei kubwa yaani yakupasa ucheze miezi 6 ili kuwa na kikosi imara cha wachezaji angalau kuanzia pt 80 kuendelea
 
Raha ya hii game ucnunue waxhezaj wenye majina upgrade unaoanza nao ili ukikutana na kina messi uwapige
 
b83784d96ac1ade00f9f41ec9e7c35ce.jpg


Hivi after Elite division kuna michuano gani tena??? Au ndio mwisho??
Ukitoko elite kuna mashindano ya timu za tifa then kuna all star competition
Then kuna continent competition (eg . African all star, southern American all star etc.) Then unakuja kucheza na first touch then unacheza na timu yako mwenyewe na hapo ndo mwisho
 
Ka tecno kangu c8 cjui nikaroot mana mm ni mgonjwa wa hii game toka ile ya 2015 tatizo ni upatikanaji wa coin ni changamoto kwa hii game vission ya 2016 na 2017 yaani wanazitoa chache mno alafu wachezaji bei kubwa yaani yakupasa ucheze miezi 6 ili kuwa na kikosi imara cha wachezaji angalau kuanzia pt 80 kuendelea

Wala haina aja ya kucheza miezi 6,cheza internet ikiwa on kwenye simu yako. Yale matangazo yanasaidia kuongeza coins.
Halafu usinunue wachezaji kwanza,waboreshe ulionao,uku ukiendelea kujenga uwanja polepole.
 
Kila ukicheza game 15+ (game zima lina mechi 18) inaanza kukuomba jenga uwanja ili uwe promoted ushauri wangu ukilianza game we zikusanye coins mpka 5,000+ hapo unaenda unajenga uwanja kwa hela yote thn ukimaliza unacheza bila stress!!..

ILA HAWA A.MADRID wamenikosesha ELITE CUP mara 3 sasa dah!!..
Usisahau kuwajaza wachezaji wawe na nguvu kila mechi wanakupa option ya wachezaji wa tatu kila mechi eg. Accuracy and fitness, defending, goalkeeping and shooting inategemea na mchezaji Mfano kipa una muongezea goalkeeping na beki defending na foward shooting and accuracy na viungo distrubution
 
WAKUU nimeigmfanya Dream league kuwa system app siioni kwa lucky patcher
Nifanyeje???
 
Hii game me hainisumbui kabisa na wala sinahaja ya kucheat coin maana na ndo raha ya mashindano ( upate kihalali)

Japo niliifutaga mwanzo hii nimeianza mwezi jana mwishoni na hata hvo nacheza mara chache kutokana na muda
89d41a17208e17b24cf2e565cd8d19e6.jpg
bb8d307ab3c8a1006803939a0cc11cc4.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom