Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Kwenye storage yako either phone or sd card kuna file ka android ukifungua liko hivi
Data
Obb

sasa basi paste izo file za data na obb za ilo game kama ilivyo humo kwenye storage yako elekezi.
Alafy mkuu lako ulisema hawafanani sura ebu tutupie pia
 
f3a0fa6edddd72ffa50cd48da88200be.jpg

Sura kufanana kupo ila tunaangali ulialiti yaan real ila uwez kuta cr7 akafanana na mwingine 100% lazima kuwe na ukasoro .
 
f3a0fa6edddd72ffa50cd48da88200be.jpg

Sura kufanana kupo ila tunaangali ulialiti yaan real ila uwez kuta cr7 akafanana na mwingine 100% lazima kuwe na ukasoro .
It means mod nyingine hazina reality kama hii ya pes 2018,fts 2018 ila hii yao ndo iko na reality sijaelewa hapo nielekeze mkuu
 
Haha nipe trick niziongeze mkuu bila kutumia luck patcher wala kupakua file lingine unaweza hiyo kitu
Ingia hapa
Android kisha Data file humo fungua tizama list zote ukikuta file dat futa kisha nitafute whatsap nikutumie iyo file dat ya kupest umo namba yangu ni hii sinaga makuu 0712514557.
 
It means mod nyingine hazina reality kama hii ya pes 2018,fts 2018 ila hii yao ndo iko na reality sijaelewa hapo nielekeze mkuu
Nawatafutia link ya hii mod nikipata nawaletea niko kuhenyeka uko google...,mtu niliemtegemea naona ni miyeyusho.
 
DLS chaliii hawa dls walichotushindia ni on line yao tu na multiple play,ila kivingine hamtuwez...dls unaweza kuta manchester anacheza na england...kaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom