Bengazuu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 1,029
- 1,238
Mkuu mbona apk sijapata nishapakua obb msaada plz
Game ni ya 2012 ila path ni 2018 auSijakuelewa mtu wa green...unasema???
Hemu jaribu kuview mkuu na zarchiverMkuu mbona apk sijapata nishapakua obb msaada plz
Mmmh balaa yani mkuu nimepata obb tupu ngoja nijaribuHemu jaribu kuview mkuu na zarchiver
Yeah humo mpaka messi unamkuta na zile ndevu zale za brichiHiii ni 2012 pes je mood n 2018???????Roberto?
Hemu jaribu hafu utupe feedback""'Mmmh balaa yani mkuu nimepata obb tupu ngoja nijaribu
Lete basi mkuu hiyo gameTafuta real mod kama yangu hamna sura za ubabaishaji ngoja nitafute link ya wfe nitawatumia mpate mambo mazuri.
Aah gemu ni ya 2012 halafu features za 2018 cndiyo???Game ni ya 2012 ila path ni 2018 au
NdiyoAah gemu ni ya 2012 halafu features za 2018 cndiyo???
Mediocrist mbona hiyo link yako ni obb tu je apk haipo????Lete basi mkuu hiyo game
Hiyo ya chini kiongozi unzip utaikuta apk humo ila hiyo ya juu ndo obbMmmh balaa yani mkuu nimepata obb tupu ngoja nijaribu
Wachezaji na vikosi vipo updated??Hiyo ya chini kiongozi unzip utaikuta apk humo ila hiyo ya juu ndo obb
Daah kweli subiri niwatafutie pakuipata apk yakeMediocrist mbona hiyo link yako ni obb tu je apk haipo????
Kwa hiyo mkuu nikiluweka nainstall moja kwa moja ama nalifanyia manuva ka FTS???Ndiyo
Chakachua kwa luck patcher au enda ndani ya obb file ya ilo game kuna profile dat uje nikujuze.Wakuu kuna game zuri linaitwa clazy for speed ni zuri mno naweza kuhack niongeze coins??alie na uzoefu na hili game aniambie aisee
Nenda google pakua app moja inaitwa mobogine inayo ilo game pes2012...ile app ina extract automatic hivyo itakuwa rahic we ni kuinstall tu.Nitapataje hili?
Kwenye storage yako either phone or sd card kuna file ka android ukifungua liko hiviHivi kuna mtu anaweza kunipa msaada step by step jinsi ya ku install hili game la fts 18 nishapakua obb na data na apk naomba msaada step by step maana linagoma linaniambia ni dowbload additional information toka playstore
