Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Ndio mkuu on behalf ila hili lina obb tu data halina ko utafata taratibu zote za kuweka obb inapotakiwa yaan android/obb then utalipaste hapo extracted file
Kwa hiyo baada ya hapo nainstall apk nacheza si ndiyo!???
 
Jinsi ya kucheza hili game maana napigwa tu dah nishazoe pes dah hivi A,B,C vinatumikaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom