Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Mimi simu yangu tecno phantom 5..nali install lakini linagoma kuplay msaada jaman nielekezeni natamani sana kucheza hili game maana nalisikiaga tu kwa watu
 
Wakuu kuna game zuri linaitwa clazy for speed ni zuri mno naweza kuhack niongeze coins??alie na uzoefu na hili game aniambie aisee
 
hizo coins baade zinageuka kuw pesa??
Fts wana two way ya coins ambayo hiz huwa ni kwa ajili ya health player endapo anakuwa kachoka unatumia coins kumpa nguvu na pia coins hutumika kukamiki kitu kama ujenzi wa kiwanja na ku register new team manage...pesa unazipata kutokana na hatua zako katka league na utwaaji makombe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom