Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Ninaweza kupata link mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia hapa ukiweza nistue
Screenshot_2020-04-28-14-17-17.jpeg
 
Mkuu online inachezwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifungua gemu si linakuletea zile option tatu Kuna ile ya kwanza unacheza offline ya pili ndo utaclick hapo unacheza online na pia unaweza cheza na mtu kwa kuunganisha Wi-Fi.. I mean hapo utakuta pameandikwa local multiplayer hapo achana napo we click juu kwenye hilo li jedwali likubwa huku data zikiwa on ndo watakuunga na mchezaji mwengine ulisakate..
 
Attachments

  • Screenshot_20200506-170047.png
    Screenshot_20200506-170047.png
    149.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20200506-170207.png
    Screenshot_20200506-170207.png
    88.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20200506-170207.png
    Screenshot_20200506-170207.png
    88.2 KB · Views: 6
Ukifungua gemu si linakuletea zile option tatu Kuna ile ya kwanza unacheza offline ya pili ndo utaclick hapo unacheza online na pia unaweza cheza na mtu kwa kuunganisha Wi-Fi.. I mean hapo utakuta pameandikwa local multiplayer hapo achana napo we click juu kwenye hilo li jedwali likubwa huku data zikiwa on ndo watakuunga na mchezaji mwengine ulisakate..
Okey mkuu kuna mtu kakimbia mechi

Timu yangu Rahim fc

Mwingine nimemchapa, hapo kama unavoona
Screenshot_20200506-181335.jpeg
Screenshot_20200506-182335.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom