KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,788
- 86,528
Saturn fc...
Saturn fc...
Kuna tatizo nalipata nikiwa nacheza dls, nkiwa nam move mchezaj nikibonyeza pass iki kijoy cha kumove kinaachia ambapo inapelekea mchezaj kustop msaada pliz
No, nlikuwa nayo but nikaifuta kwa bahati mby, ilikuwa inacheza vzr tu mkuuNdo mala ya kwanza umedownload game?
Kama ni malaya ya kwanza unacheza na linafanya hivo bas simu yako uwezo mdogo
Ya kawaida mkuu
Labda storage imejaa, punguza punguza app ambazo si rafiki kwa simu yako.Ya kawaida mkuu
HahahahaNinalo 2019 nilicheza na mtanzania mwenzangu online nilimpiga magoli mpaka akanikimbia kenge yule alifikiri Mimi wakuja
Ila sio siri online gumu kichizi kuna mimtu inagada kule mpaka myengine kabla hata mechi haijaanza unajua tu hapa sitoboi![]()
Mi sina mpango wa ku update ,, nlisha hack. Wachezaji walewale speed 100
😳😳
Endelea kutoa macho,,
Duh!



🙄😅💪👍