Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
First Touch Soccer ni sawa... Hata mie ninaloFirst Touch ni aina hiyohiyo za dls ila mabadiliko ni machache tu
Sent using Jamii Forums mobile app
First Touch Soccer ni sawa... Hata mie ninaloFirst Touch ni aina hiyohiyo za dls ila mabadiliko ni machache tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah nimeona kumbe na FTS ni jamii moja nadhani ndio version mpya ya 2020First Touch Soccer ni sawa... Hata mie ninalo
Yah nimeona kumbe na FTS ni jamii moja nadhani ndio version mpya ya 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wizi
Kaibiwa first touch
True baya halafu wameiweka online game bila net inakuzinguaMkuu wamefail sana imeniboa nami nimeiondoa kwenye wachezaji ndo hovyo na magoli kipa kufungwa easy ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni comment yako zamani Ila bado inaishi na itaendelea kuishi. Sasa mkuu binafsi nimefuata utaratibu wote mpaka pale kuunstall na kuinstal na kurudi kwenye DLS yenyewe na kuifungua ili nisajili captain alafu niende kwenye coin, lakini baada ya kuifungua inaniniletea ujumbe "download paused because no network is available" wakati Nina MB za kutosha na Data iko on![]()
1.Anza kwa kudownload lucky patcher
![]()
2.Then ifungue app ya lucky patcher na utafute Dream league ilipo
![]()
3.Fungua sehemu ilivyoandikwa hivyo
![]()
4.Bonyeza sehemu iliyoandikwa Create Apk kama nilivyomark
![]()
5.Bonyeza sehemu iliyonyoandikwa hivyo
![]()
6.Bonyeza rebuild up na uiache iprocess kama kwa dakika 2 nzima
Ikimashamaliza itakuletea option ya kuinistall/unstall game
Fanya hivyo
![]()
Likisha install rudi nyuma kawaida na ufungue App ya DLS kawaida.
Likishafunguka na ukasajili captain wako bonyeza pale kwenye COINS
![]()
Ukishabonyeza kwenye COINS itakuletea hiyo option na weka TICK kama nilivofanya hapa
Vp kwenye upande wa data haili sn? Au nielekeze unahitaji mb kiasi gani per day ili kucheza hyo game onlineNinalo 2019 nilicheza na mtanzania mwenzangu online nilimpiga magoli mpaka akanikimbia kenge yule alifikiri Mimi wakuja
Ila sio siri online gumu kichizi kuna mimtu inagada kule mpaka myengine kabla hata mechi haijaanza unajua tu hapa sitoboi![]()
Mkuu naomba link ya hilo group niingieHatar hyo
Psp nzuri sanaa nna grup flan wanatuma game za psp za kwenye simu achana na dream league soccer mi napend game lenye kuanzia mb 800 ndo hua zuri
Haha hata usihofu haili mb hata ukiwa na mb 500 unacheza mpk unachoka..Vp kwenye upande wa data haili sn? Au nielekeze unahitaji mb kiasi gani per day ili kucheza hyo game online
Mkuu kumbe ni wewe😁Ninalo 2019 nilicheza na mtanzania mwenzangu online nilimpiga magoli mpaka akanikimbia kenge yule alifikiri Mimi wakuja😜
Ila sio siri online gumu kichizi kuna mimtu inagada kule mpaka myengine kabla hata mechi haijaanza unajua tu hapa sitoboi😅
Kama ndo wewe niliekufunga pole sana usirudie mule sio pa kuja ngalo Kama nyinyi.. tena nilifurahi nilipoona bendera ya tz nikasema hii kobe itajuta ninavyofungwa hivi lazima nilipishe kisasi 😂😅Mkuu kumbe ni wewe😁
Mkuu nimepakua game ya pes lkn bado nashindwa ku install yn kule kwenye ppsspp halijatokea, naomba msaada mzeeKama ndo wewe niliekufunga pole sana usirudie mule sio pa kuja ngalo Kama nyinyi.. tena nilifurahi nilipoona bendera ya tz nikasema hii kobe itajuta ninavyofungwa hivi lazima nilipishe kisasi
Ikala Kona hata mpira haujaisha![]()
A we mi hilo silijui najua dream tu.. angalia walionalo wakuelekeze..Mkuu nimepakua game ya pes lkn bado nashindwa ku install yn kule kwenye ppsspp halijatokea, naomba msaada mzee
Hyo dls ina ukubwa gn? Na je ipo offline au ni online tuuA we mi hilo silijui najua dream tu.. angalia walionalo wakuelekeze..
Mkuu nikiangalia kwenye kitochi changu naona mb 885! Sasa hizi sijui na ukubwa wa matumizi!!!Hyo dls ina ukubwa gn? Na je ipo offline au ni online tuu
Dah hatimaye nimefanikiwa kuli install Pess mkuu, game tamu sn hili ila kuna settings fulani nahitaji mwenye nalo ili anihelpMkuu nikiangalia kwenye kitochi changu naona mb 885! Sasa hizi sijui na ukubwa wa matumizi!!!
Nachoelewa na uhakika lina mb 300 na kitu maana nakumbuka siku nalidownload lilikuwa na ukubwa huo..
Hili una play online na offline pia vile utakavyo tu..
Ila nilijua tayari unaloKama ndo process ya kulipakuwa ndugu unayo kazi kuzipita zile division kujenga uwanja kununua wachezaji kuwaongezea nguvu kazi unayo
Ukitaka mtelemko fatilia humu kuna namna ya kuli hack ukapata mikoin ya kutosha ila lipakuwe kwanza mengine yatafuata chukua dream league 2019...
Pes ngapi mkuu na vipi ni online au offlineDah hatimaye nimefanikiwa kuli install Pess mkuu, game tamu sn hili ila kuna settings fulani nahitaji mwenye nalo ili anihelp