Marashaaa95
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 848
- 724
Chukua playstore HILI GAMEMimi nimedowload APK ya dream league soccer 2018 kwenye simu Samsung galaxy grand neo lakini inakataa kuplay nilifanyeje guy's msaada wenu tafadhari
Chukua playstore HILI GAMEMimi nimedowload APK ya dream league soccer 2018 kwenye simu Samsung galaxy grand neo lakini inakataa kuplay nilifanyeje guy's msaada wenu tafadhari
Upo tier ya NGAPI?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka wanatumia trick ya kuweka jezi zinazofanana na mm ili wanipige lakini nimeshindikana mpaka sasa mm ni CHAMPION wa hili dude humu na duniani maana napiga wazungu wachina wakorea waswahili mpaka wengine wananitumia email za pongezi hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
KUMBE UKO TIER YA 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka wanatumia trick ya kuweka jezi zinazofanana na mm ili wanipige lakini nimeshindikana mpaka sasa mm ni CHAMPION wa hili dude humu na duniani maana napiga wazungu wachina wakorea waswahili mpaka wengine wananitumia email za pongezi hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
Tier 1 nw ila mvua zimekata dls online haipo nwUpo tier ya NGAPI?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Npo tier 1 nwKUMBE UKO TIER YA 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nmefika tier 1 mara kadhaa then najidropishaCode +255 Tanzania ndio TEAM YANGU
NIPO TIER 1
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 743745
Acha mikwara ww, record zako za online hamna hata moja uliyoshindaAu mnaogopa hili li kikosi la mauaji na hizi rekodi za hatariView attachment 748944View attachment 748946View attachment 748948View attachment 748949View attachment 748951View attachment 748953
Game played online 3 halafu unalalamika wana kukimbia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Au mnaogopa hili li kikosi la mauaji na hizi rekodi za hatariView attachment 748944View attachment 748946View attachment 748948View attachment 748949View attachment 748951View attachment 748953
bado ujakutana na mm[emoji57]Mpaka wanatumia trick ya kuweka jezi zinazofanana na mm ili wanipige lakini nimeshindikana mpaka sasa mm ni CHAMPION wa hili dude humu na duniani maana napiga wazungu wachina wakorea waswahili mpaka wengine wananitumia email za pongezi hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
leta link