KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,772
- 86,460
Hapo kwenye online angalia pembezoni na walipoandika Facebook utaona ktk online upo division ipi...
Hapo kwenye online angalia pembezoni na walipoandika Facebook utaona ktk online upo division ipi...
Naona niko division 7Hapo kwenye online angalia pembezoni na walipoandika Facebook utaona ktk online upo division ipi...
Muda si mrefu utaanza kukiona cha Moto nawewe😜😂
Mbona unanitisha chief,Muda si mrefu utaanza kukiona cha Moto nawewe![]()
Kuna mpuuzi mmoja eti kipa wake anajianzia mwenyewe,, huyu kenge nimetoa nae suluhuMuda si mrefu utaanza kukiona cha Moto nawewe![]()
😂😂😂
Sema network iko slow sana ukiwa unacheza
Binafsi sina kumbukumbu kama nilishawahi vuka division 7!!! Ndo huwa naishia hapo nakula kisago nafia humohumo au nashuka daraja narudi 8 inategemea na point.... Cha muhimu kaza usiogope![]()
Yah, ni offline yn cr7 yule yule, tabia tabia za wachezaji uwanjani zilezile tofauti na dls mchezaji co km kwny pessN
Ni za offline mkuu?!
Kuna tatizo nalipata nikiwa nacheza dls, nkiwa nam move mchezaj nikibonyeza pass iki kijoy cha kumove kinaachia ambapo inapelekea mchezaj kustop msaada plizHe he.. hiyo kawaida wanakulaga Kona wakiona maji shingoni
Hata Mimi nakulaga kona Kama kipigo kimezidi
Upo division ya ngapi..?
Okey mkuu kuna mtu kakimbia mechi
Timu yangu Rahim fc
Mwingine nimemchapa, hapo kama unavoonaView attachment 1441774View attachment 1441775
Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna tatizo nalipata nikiwa nacheza dls, nkiwa nam move mchezaj nikibonyeza pass iki kijoy cha kumove kinaachia ambapo inapelekea mchezaj kustop msaada pliz
Pole mkuu, uko online division, au ile ya kawaida division?Kuna tatizo nalipata nikiwa nacheza dls, nkiwa nam move mchezaj nikibonyeza pass iki kijoy cha kumove kinaachia ambapo inapelekea mchezaj kustop msaada pliz
Hahahahaha
Binafsi sina kumbukumbu kama nilishawahi vuka division 7!!! Ndo huwa naishia hapo nakula kisago nafia humohumo au nashuka daraja narudi 8 inategemea na point.... Cha muhimu kaza usiogope![]()
Kazi nzuri mi ndo wananitwanga tu😅Hahahahaha
nimewapga online
hatimaye nimekuwa bingwa,, chekiView attachment 1442087View attachment 1442089View attachment 1442090View attachment 1442091View attachment 1442092
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko division 6Kazi nzuri mi ndo wananitwanga tu
Nakiona cha mtema kuni
Mkuu angalia kifaa unachotumia huenda kinazidiwa I mean ma apps na madude ni mengi hivyo hufanya baadhi ya apps ku stuck n.k kama kuna mi files huitumii ipunguze ili space kwenye kifaa chako iweze kumudu then utazima kwa muda halafu unawasha Kama sivyo huenda ikawa ni bugs zimevamia kwenye gemu.. hutokea Mara kadhaa kitu kama hicho so check systems zako..Kuna tatizo nalipata nikiwa nacheza dls, nkiwa nam move mchezaj nikibonyeza pass iki kijoy cha kumove kinaachia ambapo inapelekea mchezaj kustop msaada pliz
😳
Siku nije nikufume huko online ntakuchezesha kipigo Cha mbwa Koko.. 😅
Uje tu nikukalishe,, timu yako inaitwaje?Siku nije nikufume huko online ntakuchezesha kipigo Cha mbwa Koko..![]()