buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
huu uhuni nimeufanya sana mkuu.....ila hizo rates za wachezaji unakuta prisons ina nguvu kuliko yanga au kama hapo kindoki yupo juu ya manura😃😃😃
Fanya kutuelekeza.
huu uhuni nimeufanya sana mkuu.....ila hizo rates za wachezaji unakuta prisons ina nguvu kuliko yanga au kama hapo kindoki yupo juu ya manura😃😃😃
download jersey za timu....,download nembo.....,badili majina ya wachezaji na majina ya timu........,chagua ligi yoyote unayoipenda na badili jina la ligi hiyo.....timu unazobadili zitoke kwenye hiyo ligi uliyobadili.....hapo utakuwa umemaliza.Fanya kutuelekeza.
kwema mkuudownload jersey za timu....,download nembo.....,badili majina ya wachezaji na majina ya timu........,chagua ligi yoyote unayoipenda na badili jina la ligi hiyo.....timu unazobadili zitoke kwenye hiyo ligi uliyobadili.....hapo utakuwa umemaliza.
nipo mkuu....za masikukwema mkuu
safiii kabisa mkuu"""nipo mkuu....za masiku
sahivi tunacheza Fifa onlinesafiii kabisa mkuu"""
download jersey za timu....,download nembo.....,badili majina ya wachezaji na majina ya timu........,chagua ligi yoyote unayoipenda na badili jina la ligi hiyo.....timu unazobadili zitoke kwenye hiyo ligi uliyobadili.....hapo utakuwa umemaliza.
Mkuu naomba uniunge kwenye hilo groupHatar hyo
Psp nzuri sanaa nna grup flan wanatuma game za psp za kwenye simu achana na dream league soccer mi napend game lenye kuanzia mb 800 ndo hua zuri
Umeiona DLS 2020 yaani sasa hivi wamechemka sana mzigo upo vibaya sana nimeishia kuifuta tu
Mkuu wamefail sana imeniboa nami nimeiondoa kwenye wachezaji ndo hovyo na magoli kipa kufungwa easy ...Umeiona DLS 2020 yaani sasa hivi wamechemka sana mzigo upo vibaya sana nimeishia kuifuta tu
subiri updates, wanakimbizana na FIFAMkuu wamefail sana imeniboa nami nimeiondoa kwenye wachezaji ndo hovyo na magoli kipa kufungwa easy ...
Sent using Jamii Forums mobile app
FTS au DLS??Dah wadau tangu nibadili simu nimemiss sana hili game la fts. Kwa yoyote anayejua namna naweza kucheza hili game kwenye iPhone anielekeze
Site kiaje?Unaingia site gani kufanya haya?
Lipi hilosahivi tunacheza Fifa online
Umeiona DLS 2020 yaani sasa hivi wamechemka sana mzigo upo vibaya sana nimeishia kuifuta tu
FTS au DLS??
FTG ndo gemu gani hiloNadhani alitaka kuandika FTG
First Touch ni aina hiyohiyo za dls ila mabadiliko ni machache tuFTG ndo gemu gani hilo