Facilitator
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,279
- 1,772
swaga's in church?
hyo ni sunna..
swaga's in church?
na Anaita watu wanatoa ushuhuda kuwa wamenunua magari kwa sababu walikuja kanisani kwake!
nimeuliza utaratibu wakupeleka pesa mbele wakati wakufundisha uko vp?
...nooo, mimi si mshirika wake lakini, sioni dhambi kumtuza mtu kama moyo wako umefurahi. mbona huko kwenye disco mnatoa au na huko ni wajinga..? anyway mtazamo mpana kwanini mkiambiwa kupeleka mbuzi kuku na hata kitu cha thamani kwa waganga/wachawi wa kienyeji mnatii bila maswali, je si zaidi kuwapa watumishi wa Mungu....???!!
...nooo, mimi si mshirika wake lakini, sioni dhambi kumtuza mtu kama moyo wako umefurahi. mbona huko kwenye disco mnatoa au na huko ni wajinga..? anyway mtazamo mpana kwanini mkiambiwa kupeleka mbuzi kuku na hata kitu cha thamani kwa waganga/wachawi wa kienyeji mnatii bila maswali, je si zaidi kuwapa watumishi wa Mungu....???!!
Haleluya, Kondoo wangu umejibu vyema, mbona wao wkiwapelekea waganga wa kienyeji sisi hatupigi kelele?
Wacha na sisi tutoe shavu bwana.
hizo swagga unazozizungumzia zipo kwa mujibu wa msaafu wa kikrisro kweli au ni swagga zake yeye binafsi na Mungu wake anaemjua yeye??????zile ni swagga tu!
Wengi wanaochangia hapa ni mafarisayo na masadukayo,wamejihesabia haki na wanasimama mahali pa mwenye kuhukumu!bila shaka hawajui kumteta mtumishi wa Mungu ni kujitakia laana isiyo na sababu,sijui wamekosa kitu cha kujadili!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ndio hivyo mkuu, lazima tutofautiane kihoja ila anaezidiwa na mwenzie kihoja lazima akubali kushindwa"God is so good, precious n loving thus he created us differently...."
Amen!!!
swaga's in church?
Ndugu yangu kuna sehemu pameandikwa kutatokea manabii wa uongo..
Je, bado tuwasubirie hawa manabii wa uongo?
Au ndiyo hawa hawa tunaowana sasa huko makanisani?
hizo swagga unazozizungumzia zipo kwa mujibu wa msaafu wa kikrisro kweli au ni swagga zake yeye binafsi na Mungu wake anaemjua yeye??????
Toeni sehemu moja ya kumi ya kila kitu unachokipata, toa sadaka za malimbuko, sadaka za Ihari, sadaka za shukrani ili nyumbani mwa Bwana (Mungu) kiwemo chakula cha kutosha.
Toa sadaka bwana watumishi tuna mahitaji mengi.
Mkuu kuna watu wanamvuta masharubu Mzee wetu huko mbinguni, na huyu ni mmoja wapo.Nilikuwa sehemu muda si mrefu,
Kulikuwa kuna kipindi kwenye runinga showing kipindi cha dini..
Nimeshangaa sana kuona aina ya dini inayofanywa na huyu jamaa!
Mnaoabudu pale huu utaratibu wakumtunza jamaa pale mbele kama
Mpo kwenye shoo za tangwa inakuwaje?
Tuelimishane