Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time

Huyu jk anafanya kazi ambayo siyo yake, mimi namshauri angeingia kwenye ze comedy search angeshinda hata mimi ningempigia kura kwenye ze comedy search

nukuu,,hata mika nane huo mshahara wa kimachachini haulipiki,,sasa hao wanafunzi hizo comp atpata wapi
 
President Jakaya Kikwete has said every secondary school student in the country will have own computer to aid them when studying in the coming five years. He said by then, all schools will have been connected to the internet..............


Ni kauli ya Rais wa Tanzania hii??

"We are in the 21st Century; there is all reason to make our people move hand in hand with the technology they need by availing modern facilities to them and their children. That is why we think that every child must have a computer to use while studying," President Kikwete insisted.


It needs some kind of lunacy to understand this statement


He said a total of 550,000 students were selected to join secondary education this year in various schools and that over 700,000 missed the chance due to fewer number of schools..................The President said the intention was to ensure that ward secondary schools received one million students who finished Standard Seven every year.


Ha!! Kina Joti wapo wengi wajameni.......

Mzitto
 
classroom.JPG



26366.jpg


SchoolClassroom.jpg



CLASSROOM IN TANZANIA

Sasa nagundua kwanini pale Leaders alisema anamkubali sana prof J.... Siamini kama anatuletea mambo ya ndiyo mzee na watanzania tunamwangalia hatuchukui hatua. Kwa shule zilizo nyingi ni za kiwango cha akewii hapo juu. angalao hao wenye majengo yanayofanana na madarasa. Haya ni madharau makubwa sana kwa watanzania na wakati umefika tukatae kudharauliwa.
Siamini kama kauli hii ameitoa kwa watanzania, nadhani imefikia wakati akafanyiwe tena uchunguzi wa afya yake hasa magonjwa ya akili. Hawezi kuwa serious. si ajabu akiulizwa hata idadi ya shule zilizopo na idadi ya wanafunzi hajui alafu anatoa kauli hizi za kipumbavu kabisa kwa watanzania.

Ukikubali kuongozwa na mpumbavu nawe ni mpumbavu.. watanzania imefika wakati tudhihirishie uma wa kimataifa kwamba sisi si wapumbavu.

Wakati ndio huu, october ndo hiyo.... wajibika na chukua hatua...
 
The President said the government was working to connect all secondary schools to the national optic fibre system, adding that every student would be taught how to use the Internet.

This is totally impossible given current level (almost non-existent) of broadband penetration in Tanzania (see below quote attributed to George Kahama, Chairman of Seacom Tanzania):

We only have 31,000 Internet connections and those are mostly dial-up. Penetration is less than one percent of the population.
 
Nasikitika sana tunaongozwa na mtu asiejua Urais ni nini.... Nimewahi kusoma Moshi tech, then Kibaha secondary wanayoiita shule ya vipaji.. Ni upuuzi mtupu unaofanyika pale.. Kwa maana ya practicals haziko katika kumjenga mtu kuwa creative, na kuna upungufu wa vifaa mkubwa tu.. Na usishangae kukuta UDSM pia kuna insufficient Computers kwa wanaCHUO wa COET na FIVE... Rais anaishi wapi? Au kwa kuwa anafanya safari nyingi huko majuu, akirudi anakuwa bado anaota watu walivyoendelea huko na anaona hata Tanzania pako hivyo hivyo!!!!!!!.. It sucks to have this kind of President asie na VISION...
 
My take

This would mean setting aside almost Tshs 500,000,000,000/- for computers leave alone the infrastructure required.

I am sure if we had that kind of dream, beggars would be traveling in limos and the poor hapless workers of this country would have their demands met without threats of facing the bullet. Funny thing though is that we have not been able to set aside even one percent of that amount for textbooks for those very kids and sadly I still remember JK's promise in 2005 for adequate and reliable electric power supply not only in Dar es Salaam but countrywide.

My question to JK is this, is this another clever scheme yet to loot our meager resources like you have been doing ever since coming into power through corruption and theft ? Are we promising our toddlers that within the next five years, they wont need to crawl before they can start running ? My heart bleeds for this poor country as I watch it being torn to pieces by the ineptitude or this evil band of thugs calling itself government
 
Lakini mradi wenyewe hajapewa mzalendo...! Na inasemekana utaanza baada ya miaka miwili. Alokabidhiwa 'deal' hili pia anatafuta 3rd party ili ndiye afanye kazi husika (yeye hajui lolote katika ICT). Mbaya zaidi huyu 'inasemekana' tayari analipwa $25,000.00 kama mshahara!

Nisiulizwe zaidi
 
ibku3n.jpg


Mimi naamini kabisa watatekeleza,lakini tunarudi kule kule kwenye Twin towers,radar,ndege ya raisi ambayo wanaogopa kuitumia wakienda kuomba misaada,magari ya thamani......mambo yasiyo na tija kwa taifa.

Badala ya kujenga matabaka, angeakikisha ndani ya miaka mitano hakutakuwa na mwanafunzi atakaye somea chini ya mti,Shule isiyokuwa na umeme ma maji,Darasa lisilokuwa na madawati na vitabu.

Labda hii ndiyo itakuwa wake-up call kwa wazazi wa wanafunzi kama hao hapo juu kwenye PICHA kuacha na Wabunge wanaokwenda kulala bungeni.
 
Tunasubiri kuona maajabu ya Musa, wanafunzi wakibofya computer wenyewe bila mwalimu (maana hata walimu wa masomo ya siku zote hawatoshi), huku wakiwa wamekaa chini! Kaazi kweli kweli. "Msemaji Mpya wa Rais," Mh John Tendwa, sijui atakuja na lipi this time. Ama kweli Rais tunaye! "Uzuri" wa Rais wetu huwa lawama hazielekezwi kwake bali "watendaji wa chini" ndio wanaomwangusha Rais!
 
Tunasubiri kuona maajabu ya Musa, wanafunzi wakibofya computer wenyewe bila mwalimu (maana hata walimu wa masomo ya siku zote hawatoshi), huku wakiwa wamekaa chini! Kaazi kweli kweli. "Msemaji Mpya wa Rais," Mh John Tendwa, sijui atakuja na lipi this time. Ama kweli Rais tunaye! "Uzuri" wa Rais wetu huwa lawama hazielekezwi kwake bali "watendaji wa chini" ndio wanaomwangusha Rais!
 
hehehehe
computers kwa kila dent ilhali hata maabara hakuna.

gharama za computer ni juu zaidi ya za dawati. alishindwa nini kuwapa madawati halafu aweze computers?

flat joke
 
classroom.JPG



26366.jpg


SchoolClassroom.jpg



CLASSROOM IN TANZANIA

hizi picha ndo anatakiwa JK apelkekewe sio anaongeoongea tu kama kalewa kitochi.....kila mwanafunzi kuwa na computer????? God forbid haiwezekani ..hivi kweli hapa tuna rais au ni katibu tarafa huyuu....aGHHAAAAAAA
 
JK ni Rais wa ahadi tu, hamna anachoweza kutekeleza.

Kinachonishangaza ni baadhi ya wasomi kuwa na imani nae kuwa anaweza kuleta mabadiliko katika nchi hii, kuthibitisha hii angali wanavyotangaza nia kupitia CCM. Ni vituko vitupu. Rais anaahidi computer kwa kila mwanafunzi kunected to internet wakati umeme maeneo mengi bado.

Kwa sasa ninafanya Campeni ya kila mfanyakazi kutafuta watu si chini ya 50 watakaopiga kura zao kwa chama kingine siyo CCM, tuungane pamoja kuangusha CCM na JK mwaka huu mana tumechoka kuahidiwa mara kwa mara bila vitendo.
 
Wera weraaaaa!
kwanza fly overs zishajengwa? JK tengeneza mazingira mazuri ya kusomea. internet unataka watu waangalie porno ful tym? weka wifi in all big city kama ww ni kidume.
 
Kila mwanafunzi kuwa na kompyuta ktk miaka 5, tatizo la maji Dar kuisha 2013, ....., nk - hayo ni maneno tu. Kuna tabu gani kuyasema na uhuru wa kuongea tunao?
 
Sipati picha darasa hili na computer! Ama kweli...! Sasa tunakubali kuwa wa kupokea takataka za wengine huko ambazo wamegundua hawahitaji! Mbayuwayu!!! ha ha ha! Akili za Wamarekani changanya na za Kikwere! !!

168fwp1.jpg
 
Hivi, wakati ule 2005 Kikwete alivyoanguka akiwa kwenye kampeni hakugonga kichwa mahali? I'm asking coz he's been acting strange since then
 
Back
Top Bottom