Tabu kubwa ya kiongozi wenu hana la maana hadi atizame TV za nje ili apate mbwembwe, wala hatudanganyi sisi tu, yeye mwenyewe ni rahisi wa kwanza kudanganywa kuliko raisi yeyote alie wahi tokea nchini, alidanganywa hesabu za Tucta nae akaliambia Taifa uongo,juzi juzi kafungua bwawa fenk, juzi juzi kapokea cheki hewa huko nyanda za juu,alidanganywa na Bush et atatokomeza malaria kwa vyandarua vya msaada wakati huo anaambiwa waambie watu wako kwanza wapate mimba ndo wapate net za futi tatu ,sasa hapo nani anadanganywa? au analipa kisasi? Raisi tunae