Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time

Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time

Kwa nusu karne umeme tu umewashinda kuufikisha kwa hayo mashule sembuse computer tena zilizounganishwa kwa mtandao! Ahadi yako Mhe haitekelezeki! Na amesema tu from nowhere! Jamani uchaguzi ukikaribia ndio utasikia vijiahadi vingi ghafla concern kwa wananchi inakuwa kubwa, huu si unafiki jamani!
 
Kwa nusu karne umeme tu umewashinda kuufikisha kwa hayo mashule sembuse computer tena zilizounganishwa kwa mtandao! Ahadi yako Mhe haitekelezeki! Na amesema tu from nowhere! Jamani uchaguzi ukikaribia ndio utasikia vijiahadi vingi ghafla concern kwa wananchi inakuwa kubwa, huu si unafiki jamani!

Umeme hakuna, madawati hakuna, viti hakuna na vyumba vya madarasa hakuna . Labda ile safari ya Silicon Valley ilikuwa ni kwa ajili ya kuwaomba computer wizards kutengeneza dustproof floortop, kwa wanafunzi kutumia wakati wamekaa chini kwenye vumbi.

Do not underestimate the power of Tanzanians
 
Nchi iliyompa madaraka Rais Msanii.!
Tusubiri siku atasema kila mkoa utapewa Helcopter ya ambulance.!
Huyu hakufaa kamwe kuwa Rais wa Tz, kaweka Mambo ya ndani msanii Marsha, Mambo ya Nje Msanii Mende Yaani kavuruga nchi vibaya sana.
 
Haihitaji kufikiri kugundua hio kauli ni changa la macho!
Usishangae mwisho wa mwaka akikwapua kura zakutosha maana
wajinga ndo waliwao!:target:
 
Kweli mimi naona huyu jamaa ametuchoka, kabisa.

WATANZANIA WENZANGU KAMA MNASOMA VITABU VITAKATIFU; KAMA BIBLIA,MUNGU HAPENDI; UFISADI,RUSHWA UTAJIRI UNAOPATIKANA KWA KUWANYONYA WANANCHI WALIOWENGI.

HUU NI MWAKA WETU WANYONGE TUMELETEWA TIMU LAINI TUIFUNGE MABAO 10 KWA SIFURI. TUJIFUNZE KWA WENZETU WA UINGEREZA WAMEMTOA PM WAMEWEKA WATU WASIO NA MASIHARA WATAKAOJALI MASLAHI YA TAIFA.

KIKWETE BASI, KAMA HATA WANANCHI UNAWADANGANYA MCHANA KWEUPEEEEEEEEEEEE.

KWA HERI BABABA.:brick:
 
Msanii atakuwa anazumgumzia zile crappy toy computers za dezo za dola 100 chini ya mradi wa OLPC (One Laptop Per Child) ambao African Development bank ni Wahisani....lol!

olpc-mit-laptop.jpg


olpc.jpg
 
kwa nusu karne umeme tu umewashinda kuufikisha kwa hayo mashule sembuse computer tena zilizounganishwa kwa mtandao! Ahadi yako mhe haitekelezeki! Na amesema tu from nowhere! Jamani uchaguzi ukikaribia ndio utasikia vijiahadi vingi ghafla concern kwa wananchi inakuwa kubwa, huu si unafiki jamani!

nadhani vijana watatumia computer za mafuta ya taa na kuni

utani wowote haufai
 
Jamani tumekuwa watoto kiasi hicho! huyu mkwere aache longolongo zake
 
msanii atakuwa anazumgumzia zile crappy toy computers za dezo za dola 100 chini ya mradi wa olpc (one laptop per child) ambao african development bank ni wahisani....lol!

olpc-mit-laptop.jpg


olpc.jpg

ooooooooooooooohhhhhhhhhhhhh.... Gggaaaadddeeeemmmmuuu!!!!!!
 
yani ukiona haya yote ujue ni presha ya uchaguzi hapo ndio utasikia kila aina ya ahadi kweli raisi acha utani ata toi awawezi kutoa alafu presha ya nini wakati umesema ata tusipokupigia kura utashinda tu ss uongo wa nn?
 
"....Sababu ya kutomrudisha madarakani tunayo, Nia tunayo na UWEZO tunao! saa ya ukombozi ni sasa! A man is an architect of his/her own destiny! and we have to remember I f we dont choose our own destiny, then destiny will lead us to its own destination!
 
The Guardian


President Jakaya Kikwete has said every secondary school student in the country will have own computer to aid them when studying in the coming five years. He said by then, all schools will have been connected to the internet.

He said this yesterday when addressing a public rally at Okaoni Ward after opening a police station and houses for police built by residents of Kibosho Division, Moshi Rural District in Kilimanjaro Region.

The President said the government was working to connect all secondary schools to the national optic fibre system, adding that every student would be taught how to use the Internet.

"We want all secondary schools to be connected with the optic fibre in five years time to enable teachers to teach many students at once," he said, adding, "We want every student to have their own computer connected to the Internet".

Investors from the US had agreed to help in the distribution of the gadgets and technology, the President said. He added that schools currently going without electricity and those not connected to the Internet would be assisted to access the services.

Explaining further on the project, he said that the government would start with 3,192 schools in six districts as a pilot project sometime this year. He would not mention the districts.

"We are in the 21st Century; there is all reason to make our people move hand in hand with the technology they need by availing modern facilities to them and their children. That is why we think that every child must have a computer to use while studying," President Kikwete insisted.

He said the government was aware of the problem of the inadequate number of laboratories in most of the secondary schools and that it was working with the African Development Bank (AfDB) to build the science facilities and install modern equipment in every secondary school.

On the problem of teachers, he said: "The shortage of teachers is being worked out and will be reduced soon after the stakeholders had increased the number of teaching colleges".

President Kikwete said some people had ignored the government's directive of building secondary schools in every ward without knowing that the number of schools that existed since the colonial period was not enough to cater for the country's present population.

He said a total of 550,000 students were selected to join secondary education this year in various schools and that over 700,000 missed the chance due to fewer number of schools.

The President said the intention was to ensure that ward secondary schools received one million students who finished Standard Seven every year.

"We want to reach a place where each pupil who starts Standard One is assured of getting secondary education without facing any hindrances," he said.

He also said the government had set aside a budget for buying books for all secondary schools to avert the problem of students sharing one textbook.

Speaking to voters earlier, the Member of Parliament for Moshi Rural, Dr Cyril Chami, said the constituency has put in place strategies to boost coffee production.

Dr Chami, who is also Industry, Trade and Marketing deputy minister said all councillors had received training on the handling of the cash crop.

SOURCE:
THE GUARDIAN

My Take:
Hivi mtu anavyotoa ahadi kama hizo huwa hata amefikiria? Hizo computer katika kila shule ya sekondari na kwa kila mwanafunzi, zitatumia umeme wa mafuta ya taa?
 
Nafikiri JK anaota usingizi.Aweke madawati kwanza,jenga shule za matofali ya simenti,weka maji shuleni!
Nikiangalia hizo picha juu nataka kutoa machozi kabisa.
 
Naona ''washauri'' wa Mkuu walishafanya assessment ya kutosha na kuwaona waTZ wote ni mambumbumbu mzungu wa reli! - otherwise hawezi kutoa statement kama hiyo.

Kule kwetu Kigoma hatuhitaji computer jamani, tunaomba watuunganishe kwenye umeme wa ''Grid ya Taifa'' tu
 
Kishaanza tena ahadi zake za uongo. Kwanza azungumzie ahadi zake za 2005 alizozitoa wakati wa kampeni ni ngapi kazitimiza?
 
Sehemu kubwa ya hotuba hiyo iliandaliwa na Shekh Yahya! Inawezekana kila shule kuwa na computer lab na sio kila mwanafunzi kuwa na komputa yake. Je, laptop, ipad au desktop? Umeme gani utatumika? Solar? Hajadandia kweli habari za One Laptop per Child project?
 
Back
Top Bottom