Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time

Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time

Shule hazina madawati, walimu, vitabu, zingine hazina madarasa umeme ndio kabisa...hivi hizo sio ndoto za mchana.
 
This is so so sad. No wonder Tanzania is where it is, and to make matters worse, there are so many people in Tanzania who think the same way. I shudder each time I see Vodacom or whatever those companies are called, handing some computers to schools. I ask myself , " what are those computers for?" are we really ready to police the use of internet? I can just think of a few things - porn, useless so called entertainment news, e-mails, wikipedia as a source of information, plagiarism etc, etc...

Majority of these kids come from homes which do not even meet the basic standards - no water, forget electricity - that is a luxury only for the privileged, they survive on 1 meal a day, they have adequate clothing (including footwear). when they get to school, maybe the classes are under a tree (weather permitting) if they have actual classrooms, then no desks to write on or benches (yes benches, more economical than individual chairs) to sit on. JK, can you take care of these first before embarking upon computers? Please!
 
What he said was an inslult to all Tanzanians, There is no electricity, books, madawati and most can not even afford to pay for their primary education. It is a shame to the country and to all of us. This is the problem of having a president with no Vision of where he wants to take the country, he wanted the presidence he got it, then what is next???? Confused....legacy.....EAC .. sad news may be the next five years he might do something since he has nothing to loose anymore.
 
Daaah huyu captain wa timu yetu noumaaaa....amesahau kale kausemi kuwa:you can fool some people sometimes but you cant fool all the people all the time!!!!!!!!!! kura yangu safari hii dili kinoma wajumbe,sitakosea tena kuchagua labda mniangushe nyinyi...
 
raisi wetu ana guarrantee ya kuwa-fool watanzania atakavyo,kwani analindwa na mfumo wa ujinga/ukosefu wa elimu ya uraia uliokuwepo tanzania sasa hivi.
Asilimia kubwa ya watanzania ni "empty headed" linapokuja swala la haki zao za kimsingi na ni vitu gani serikali inatakiwa kuvifanya.kwao raisi ni kama mfalme aliyewekwa na Mungu.asiyekosea,asiyeweza kukosolewa.hali hii ya kuwa treated kama mfalme ndio inachange humble individuals into kingsmen,take mkapa,he started as a humble guy,buts the ikulu changed him into a thief stealing in broad daylight..,kikwete yeye tokea siku nyingi alikuwa ameshaona manufaa ya kuwa raisi,no wonder kila kura ya maoni alikuwepo.sasa hivi jamaa yuko honeymoon-it will be over when he steps down.
In such Tanzania is in auto pilot,so i would not expect anything out of the ordinary from the folks in magogoni.
 
By the way umenishtua kitu, hivi chuo chetu kikuu-Mlimani,wanatumia ubao au projectors au njia gani ,mwalimu anapofundisha?
 
This must be a very rare joke!! Huko vyuo vikuu hawajaweza hata transparent projector, achilia mbali kwa ajili ya power point. angalieni madarasa ya vyuo vikuu vya umma. Ni vyema pia ukatafakari kuhusu sekondari. Na uchunguze pia kama hata walimu wa vyuo vikuu vya umma kila mmoja ana computer. Jibu ni hapana.. kuanza kuwadanganya watu kwa staili hii ni upunguwani. Hata kama ni kweli, huenda hitaji la hao wanafunzi kwa sasa sio computer kwani haitawashwa bila umeme, bila kuwa na darasa..

Hii ndio taabu ya kuwachukua vilaza wanaotafuta publicity na kuwapachika vyeo vikubwa kama uraisi!
 
Tutasikia mengi kwani wakati wa kupiga kura unawadia.Ila ni vizuri kama hakuna la kusema kukaa kimya badala ya kuahidi yasiyotekelezeka.Kwa mtindo huu hatutafika popote .Viongozi wetu tafadhalini sana toeni ahadi zinazotekelezeka kwani wananchi wamekwishagundua uwongo wenu.
Wekeni madawati kwenye mashule,pelekeni vitabu mashuleni,boresheni mahospitali,miundombinu n.k.Kwani hiyo ahadi ya rais sidhani kama inatekelezeka.
 
Kwa nchi kama Tanzania kuna haja kuwa rais aliyepo madarakani, incumbent, asiruhusiwe kufanya kampeni katika kipindi cha pili. Waachwe watu waamue kutokana na waliyoyaona katika miaka mitano iliyopita. Wapinzani wake tu ndiyo waachwe wafanye kampeni. Kwa nini? Kwa sababu kama amefanya mazuri hakuna haja ya kuyapigia kampeni na kutumia mabilioni ya bure, unless ataka kuwarubuni watu kama inavyotokea sasa.
 
Mmhh Ndani ya miaka 3, Ahadi zote za 2005 hajatimiza zen wanafunzi watumie Teleconfernce kujifunza huu kweli ni utani uliovuka mipaka.
It's time now kuwaondoa watawala wote wenye mawazo ya alinacha na ndoto za mchana kama huyu kiranja mkuu wa nchi hii ya wadanganyika walio wengi.
 
Mheshimwa alikuwa very serious wakati anayaongea haya ...ngoja tusubiri hizi ahadi zake anazoendelea kuongeza
 
Miaka mitano.. Ahadi zaid ya elfu kumi, utekelezaji aslimia 0.5%
 
...........ataleta technicians Wachina na Wahindi na labda Wa-Oman. Kama ni umeme...simpo! Solar Power. Sasa shida nini? Michina ipo kibao. Na hao jamaa wengine waingia kila kukicha. Sasa ukiacha porojo hizi, bado atachaguliwa awamu ijayo. Baada ya hapo atakuja msanii mwingine. Nae atapeta tu til that day WADANGANYIKA watakapokuwa serious with their destiny, call it what you may. Sanaa zilizochezwa mchana kweupe ni nyingi mno. Hivi kweli inapanda akilini watu wabaki tu kimya na usanii wa Richmond, MEREMETA, KAGODA, BOT, EPE, EPA etc... KISUTU...!!! Then baada ya yote Waziri anenda mkoani na list ya achievements na kurudi DAR bila kangeu kadogo? WOW!
 
Najaribu kufikiria mahali palipo na tatizo kwa huyu kiongozi wetu. Kila siku anaongea mambo ambayo ni aibu sana kwa nchi. Akihojiwa na waandishi wa habari wa BBC ni aibu kwa taifa kila siku, speech zake nazo balaa tupu, mfano ile ya TUCTA. Utafikiri anaongea na watoto wa chekechea. Sometimes I remember Rais wa awamu iliyopita kwa uwezo wake wa kuaddress media. Labda wana JF mnisaidie kuchambua au kunifumbua macho juu ya tatizo lilipo kati ya sababu zifuatazo:

1. Uwezo binafsi wa Rais - IQ katika kuchambua issues na kuziexpress.
2. Rais kufanya au kuongea mambo yasiyo na mantiki kwa makusudi
3. Uwezo - IQ ya washauri wa Rais kwenye mambo ya kuongea.
4. Washauri wa Rais kumshauri mambo yasiyo na mantiki au uhalisia au uhakika kwa makusudi
5. Mfumo wenyewe unamforce Rais kuongea mambo yasiyo na maana ili kuubeba mfumo / chama.
6. Sisi watanzania ndio tunashindwa kuelewa anayoyaongea au kuyafanya. Ingawa katika hili nina wasiwasi kama ni kweli.

Ushauri wenu wana JF.
 
I think JK is speaking of his personal dreams............we all have dreams but keep them secretly.......sasa yeye anaongea ndoto zake kwa miaka mitano.......ni vigumu sana kutekeleza ndoto zetu.......wanasaikolojia wanadai kwa wastani ni asilimia 5% tu ya ndoto huwa kweli......ndio maana watu huona aibu kuzisema maana zingine ni vichekesho vitupu.........sasa mkuu sijui haoni aibu?......ndoto zake hazina hata projections in terms of costs etc.......FLYOVERS,DAR KUWA KAMA CALIFORNIA(SAN FRANSICO TO ME),COMPUTERS FOR PRIMARY SCHOOLS....the list goes on but........they are pipedreams...angekuwa na ndoto kama za Mwalimu......AFRIKA KUWA MOJA,BINADAMU WOTE NI SAWA,RUSHWA ADUI WA HAKI etc.....he just dreamt but like I said 5% COMES TRUE
 
Juzi JK alipokuwa anaongea na watoto wa shule mbalimbali nchini aliahidi kuwa akichaguliwa miaka 5 ijayo, atahakikisha wanafunzi wote watakuwa wanasoma kwa mtandao na kila mwalimu atakuwa anakuwa na laptop yake...mnauonaje huu mtaji?
 
Childish!!!....Anyway, alikuwa anaongea na watoto, na hivyo labda ilikuwa ni ongea ya ki'dimbadimba zaidi, na ile michezo tulikuwa tukiita mdako au NAGE zamani!
 
Back
Top Bottom