Anguko sasa ni dhahiri

Jana nimekumbuka siku ya mkutano mkuu wa kukabidhiwa kiti pale dom, alipo mwambia jk kwamba ingekuwa mm angewapoteza wote waliokuwa wanamahangilia mamvi.
 
Chama ni logo tu ndugu yangu
Lakini wazi wazi kila mtu anaona hili bandiko lako linaegemea kwenye mtazamo wa chama kipi.
Lakini wewe binafsi umeshaji pambanua wewe ni mfuasi wa chama gani.
Na sikumbuki ni lini umeweka bandiko kwenye jukwaa la siasa lisilo egememea kwenye itikadi yoyote ya chama.
 
Jana nimekumbuka siku ya mkutano mkuu wa kukabidhiwa kiti pale dom, alipo mwambia jk kwamba ingekuwa mm angewapoteza wote waliokuwa wanamahangilia mamvi.
It is becoming real now
 
Sahihi kabisa na muogope sana mtu anayekwambia hana chama lakini siku zote unamuona kwenye jukwaa la siasa akichangia mada
Mimi niliachana na ccm mwaka 1984 kwahiyo siwezi kuwa mnafique kwenye hilo japo mada hii ni pana sana zaidi ya mlengo wa kisiasa
 
No facts, hadithi za mihemko tu. Sijui inaongozwa na 'moyo' au 'ubongo'!!
 


Duh.....
 
Tunafikiri negativity tuu ,....tunalazimisha busara zifanywe na upande mmoja tu hii ni shidah?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…