Anguko sasa ni dhahiri

Anguko sasa ni dhahiri

Yaan nimeshutuka sn.Nikafikiri kuna anguko la chama au anguko la kiongozi,kumbe ni fikira zako na ndoto ndo unaleta hapa.Pole sn ndoto si mahala pake hapa.
Ukiwa na akili au kiona Mbali wala huwezi kuwa na fikra as kipumbavu kama ulizo beba
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
 
Na kwanini anapenda kututumia vibaya masikini kuwa yupo pamoja nasisi? Ngoja nijijibu; Anatukejeli na kufurahia hali tulizonazo.
 
Yaan nimeshutuka sn.Nikafikiri kuna anguko la chama au anguko la kiongozi,kumbe ni fikira zako na ndoto ndo unaleta hapa.Pole sn ndoto si mahala pake hapa.
Yaan nimeshutuka sn.Nikafikiri kuna anguko la chama au anguko la kiongozi,kumbe ni fikira zako na ndoto ndo unaleta hapa.Pole sn ndoto si mahala pake hapa.
Wanatapatap
 
Na kwanini anapenda kututumia vibaya masikini kuwa yupo pamoja nasisi? Ngoja nijijibu; Anatukejeli na kufurahia hali tulizonazo.
Msiye mtaka kaja. Huyu ndiye rais tuliyemuhitaji kwa muda mrefu sana.
 
View attachment 393263
Umefikiri hivyo kwakuwa tayari kichwani mwako una hizo fikra na yale mambo maovu mnayopanga kizani ulidhani tayari yameshafanya kazi...God forbid hilo halitatokea
Wewe mwenyewe umejipulizia hewa hasi kichwani mwako hadi sasa unaanza kuona maluweluwe. Haya ndio madhara yake. Oh anguko sijui nini, unaweweseka tu.
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi

Mimi furaha ya kuishi imekwisha, maana sijui hakika ya kesho itakuwaje, kila siku baba anatoa matamko tata ya kutupa wasiwasi
 
Na kwanini anapenda kututumia vibaya masikini kuwa yupo pamoja nasisi? Ngoja nijijibu; Anatukejeli na kufurahia hali tulizonazo.
Hizi zinaitwa ibada za laana...hatuzungumzii ustawi wa jamii bali umaskini kama vile ni kitu kizuri sana cha kujivunia
 
Kiongozi mwenye busara na hekima hawezi kumnyima mkono wa heri hata adui yake kisiasa, Nd mshana jr

Kiongozi mkweli hawezi kusita kusema na kutenda yaliyo kweli.

Mwanasiasa huishi kwa si hasa.

mshana jr wewe ndani mwako ni mangapi umeyasamehe na ni mangapi umeshindwa kuyasamehe!

Lipi husameheka? Lipi hufichwa moyoni? mshana jr, naomba TUTAFAKURI, kabla ya kunyoosha kidole cha lawama
 
Karibu Makete mkuu uonane na Wakinga,Wamagoma,Wawanji na Wamahanji ule na ugali wa ngano upate akili.
Asante sana.
Hakuna kikomo cha kupata akili.
Mie hulima kabeji hapo kijiji cha kipengele na inavyoelekea wewe ni jirani yangu...
 
Sasa unatetea utawala wa hawa CCM wakati miaka yote unakula vumbi hapo.
Barabara ya lami imeanzia Mang'oto hadi Makete mjini.
Kuanzia Njombe hadi Mang'oto wamemuachia nani?
Acha ushabiki wewe wilaya yetu ilianzishwa mwaka 1980 hadi leo lami ni nusu nusu.
Acha kula kabeji sijui kabichi zinaharibu akili yako.
 
Hii mada haistahili kuleta hamasa za kisiasa.
Muachie mkuu Mshana aendeleze mada yake.
Na katika post zote nilizoweka kwenye uzi huu hakuna mahali nimemtetea mwanasiasa yeyote.
Kwa upande wa barabara ni aibu sana kuwa na barabara kama zile kwa nchi kama yetu hii.
Hebu fikiria maendeleo ya uzalishaji na kiuchumi kama barabara hii ingekuwa nzuri
 
Back
Top Bottom