Mshana mbona huja andika same mada kwa wamarekani, umemuona mzee wetu tu? Dhana ya chuki na visasi ktk siasa ndio siasa nje ya hapo no dem and repNgoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi![]()
![]()
![]()
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.
Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?
- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Napenda nikufahamu lakini zile post za Mwakipande na Mwandulami nawaza sana.Karibu sana sana
Kuna siku ntatoa agizo jua lisimame Mwaka mzima ili mfanye Kazi,naona watu mnapenda kulala sana na taarifa ninazo
Mmh hebu nisome vizuri sijataja mtu sijamsema mtu wala hata dalili....hii mada ni ya ujumla mno lakini pengine kutokana na mahitaji ya nyakati naona imeelemezwa upande fulani.. je ni kwa bahati mbaya au kuna uhalisia? Kwanini kuna shauku kubwa ya kumsingizia joni au Journeynet kuwa ni wakora na si mimi au yule?Mshana mbona huja andika same mada kwa wamarekani, umemuona mzee wetu tu? Dhana ya chuki na visasi ktk siasa ndio siasa nje ya hapo no dem and rep
Nakubaliana nawe tafsiri sahihi ya unyenyekevu kiingereza ni "humbleness". Unyenyekevu, ni msingi mkuu wa raia - alama ya upole au tabia ya adabu, mtazamo, au roho; kutokufanya kiburi bali heshima na utiifu kwa mamlaka.Hapo kwenye unyenyekevu ni humbleness...umeongea vizuri sana..tukiwa na viongozi wa namna hii taifa litashamiri katika nyanja zote...na tungeshuhudia mabadiliko chanya na ustawi wa jamii....bahati mbaya sana wengi wetu tunadhani tumepata kumbe tumepatikana
Karibu sana Makete
Asante kwa ufafanuzi uliojaa elimu hivi wanafunzi wakifanya vibaya jamii inapeleka lawama kwa nani? Kwa wanafunzi? Walimu? Au shule?Nakubaliana nawe tafsiri sahihi ya unyenyekevu kiingereza ni "humbleness". Unyenyekevu, ni msingi mkuu wa raia - alama ya upole au tabia ya adabu, mtazamo, au roho; kutokufanya kiburi bali heshima na utiifu kwa mamlaka.
Nguzo kuu ya Unyenyekevu (humbleness) ni uaminifu (honest) na ukweli (truth).
Kiongozi imara ni budi awajenge anaowaongoza kuwa na tabia ya unyenyekevu (kusema ukweli, uaminifu, utiifu na heshima) si kwa mahubiri bali kwa vitendo.
Baada ya fafanuzi hizo, unaweza kurejea mada yako, ni nani anastahili lawama.
wewe wasema....Wise siku zote!
Mimi huwaga mawashangaa sana. Mbona wapinzani wakitoa hotuba mbaya, kali na zenyekuhatarisha amani huwa hamji kukemea ?hivi mmeshasikiliza hotuba za Seif na baadhi ya wapinzani wengine. Huwaga tu wanachi wanapuuzia kwa sababu wanajua mana ya amani. Lakini ingekuwa nchi nyingine kwa hotuba nyingi za wapinzani huwa ni hatari kwa usalama wa nchi. Lakini nobody comes na kukemea kwa matamko. Sielewi siasa zetu zikojeNgoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo ? vunjika mara.
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi![]()
![]()
![]()
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.
Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?
- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Ni aibu sana kwa Rais aliechaguliwa kwa demokrasia kubaka demokrasia na kuchochea chuki dhidi raia wengine! Rais anayetamani kuua kila dakika sababu tu hataki kukosolewa! Koo lake limejaa kiu ya damu tu!! Tumekosea wapi? Mungu atusaidie! Haya sio maendeleo! Libya ndio mfano mkuu hajui kw nini watu wa Libya walichoka utawala ule! Yeye anashikilia kitu kisicho mashiko! Amani! Hakuna amani kama haki imekandamizwa na kubakwa! Libya hawakuwa na furaha zile vitu vya bure haikuwa favor ni mali zao! Walitaka haki yao uhuru na demokrasia hasa kuamua na kukosoa na kuchangia........
Kuna maneno ya siri yule TB Joshua alimwambia jamaa 'yangu' fulani kuhusu utabiri fulani ambao sio busara kuusema kwa sababu sometimes kauli huumba! .
Naweka kumbukumbu ya bandiko hili, siku ya siku nitakukumbusha na kukueleza TB Joshua alitabiri nini! .
Pasco
Asante.Takuja usijali karibu sana msata
Mimi huwaga mawashangaa sana. Mbona wapinzani wakitoa hotuba mbaya, kali na zenyekuhatarisha amani huwa hamji kukemea ?hivi mmeshasikiliza hotuba za Seif na baadhi ya wapinzani wengine. Huwaga tu wanachi wanapuuzia kwa sababu wanajua mana ya amani. Lakini ingekuwa nchi nyingine kwa hotuba nyingi za wapinzani huwa ni hatari kwa usalama wa nchi. Lakini nobody comes na kukemea kwa matamko. Sielewi siasa zetu zikoje