king mswati jr
New Member
- Nov 12, 2013
- 2
- 1
Uko sahihi sana tulitegemea kiwe chama cha kuleta hoja za kustua serikali ya ccm kumbe ni waganga njaa tu wanakufa taratibu kifo kibaya
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
Mama mkwe wako huyu.Mie sikujua kuwa naye ni kijani kali..Hujamalizia na kile kibwagizo chako "Chama Gongo La Mboto Dar".
Sijahama, na usiniite Arawa sina asili ya Moshi wala Arusha mimi ni Msukuma, huwezi ukacheza mpira wa miguu ukafunga goli kwa mkono alafu ukajipongeza kwa kuwa refa kakubali na refa umemhonga au hukusoma Chuo ila ukapewa Shahada kama baadhi ya Viongozi wa CCM ambao hata historia ya Nchi hawaijui ila ni viongozi na wanavyeti vimechangamka mno... ukifuatilia waliposoma... wamesoma Bar na maofisa wa Elimu wizarani, wakatunukiwa vyeti Bar ila ni vya University, kama kweli mlikuwa na uwezo wa kupata 70%+ ya kura Kalenga, nini kiliwatuma kumtenda vile Mama Rose Kamili?? Tena waliomtenda nina hakika watakuwa umri sawa na watoto wake je? ndiyo ustaarabu wa CCM? na leo mnakuja kujisifu eti mmeshinda?..... HATARE?!
Alipokua naibu katibu mkuu chama kilipata kura 3000 kalenga.Leo sio Naibu Katibu Mkuu tuna kura zaidi ya 5000 pamoja na hujuma zote
Mama mkwe wako huyu.Mie sikujua kuwa naye ni kijani kali..
CDM leo wana kura nyingi zaidi ya CCM zenj
MamndenyiUnasema chalinze walikoweka mtu asiyejua kusoma wala kuandika;
hivi hawa chadema sijui hata ni nani aliyewaroga, looooh.
Hahahahaaaa.. vipofu bwana, eti uchambuzi murua.. Hii kweli mahaba nitese. Mtasubiri sana hilo anguko na badala yake mtajikuta mnaanguka nyie..
si kw aumri wako...umeshindwa kuona demise yenu zenj...na rise of CDM there?Kalenga imeguka Zenji?? Hamkosi maneno ya kukiliwaza!
Salaam, Picha yako kama ni yako unaonyesha u mwana mama, nijibu sababu ya CCM kumteka na kumpeleka ofisi za CCM na kumtesa na kumdhalilisha, kumpora simu mbili na fedha Paund 500 na Tsh 300,000.00 ikiwa siku moja kabla ya Uchaguzi, lengo lilikuwa nini kama sio kuwapoteza tension Chadema wamfikirie Mh Rose Kamili wawape nafasi nyinyi wenye tume ya Uchaguzi, Jeshi la Polisi na Green Guard nafasi ya kujipangia matokeo? (2) Kama Mwanamke, niambie ungejisikiaje kama yale yaliyompata Mama Rose Kamili yangekupata wewe au Mama yako Mzazi??
Kawaida yenu cdm kujiteka ili muonekane mnaonewa. Hilo la kutekwa ROSE KAMILI inawezekana ni mpango wenu ili mpate kisingizio. Muonekane mnaonewa kumbe mipango yenu so siwezi kulikubali 100% wala kulikataa, it is PROBABILITY
Mwenyewe!!!!!!!Toa habar za udaku hapa......Nya.....................mba........................fu
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
Husoma kwenyewe ndio huku? Unasoma halafu hujitambui? Basi ni majanga makubwa ndio maana hata nchi jirani wanatucheka.acha uongo bana wanawake wenyewe ndio sisi tuko ccm, na ccm imetufanyia mengi..mfano mimi imenisomesha, imenipa kazi na tena nzuri tu, sasa kwanini niichukie ccm..nyie chadema ndio mmesaidia nini kazi kuembeza chopa tu huku watu mnaowahutubia hawana we unafikiri hiyo chopa ndio utawavuta?