Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

Assalamu Alaikum wana Bodi wote.

Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.

CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.

Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung’ang’ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;

Nawasilisha.
Haitawezekana kuwa na chama imara cha upinzani wala demokrasia ya kweli nchini Tanzania bila CCM kufa kwanza.Hata wewe uliyeandika haya na sijui kwa faida ya nani unajua misukosuko iliyoipata CAF,NCCR na sasa Chadema-Walalahoi wengine hatujui ni kwann mnawapa misukosuko mingi wale wanaonekana kuungwa mkono na watanzania walala hoi.
 
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.

Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.

CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.

Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung’ang’ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;

Nawasilisha.

umeuliza maswali yako kishabiki au kinafiki, angalia safu ya uongozi ya ccm ni dini gani? pia cuf? kama hicho ndio kigezo kwanini navyo visiwe vya kidini? tafakari! kushinda au kushindwa uchaguzi kwa vyama vya siasa ndio siasa yenyewe.
 
maoni ya watanzania ni maoni ya mungu hayawezi kubezwa na kikundi chochote kile,ongera jaji Walioba utakumbukwa na vizazi vingi vya taifa hili dhidi ya wanafiki wanaoshindana na ukweli.
 
acha uongo bana wanawake wenyewe ndio sisi tuko ccm, na ccm imetufanyia mengi..mfano mimi imenisomesha, imenipa kazi na tena nzuri tu, sasa kwanini niichukie ccm..nyie chadema ndio mmesaidia nini kazi kuembeza chopa tu huku watu mnaowahutubia hawana we unafikiri hiyo chopa ndio utawavuta?
Hongera sana mama kwa kupata nafasi ya kusomeshwa na ccm na hatimaye kupatiwa kazi nzuri.Siku hizi mambo yamebadilika sana.Miaka yetu ahadi moja ya mwana Tanu ilikuwa ni mtu kujielimisha kwa kadri ya uwezo wake na kutumia elifu yake kwa faida ya wote.Leo hii Wewe umesomeshwa na ccm unakula bata,unapata first class social services na unawaaminisha wanajamii forum kuwa wanawake wote wa Tanzania Mpo ccm,ccm imewafanyia mengi,imewasomesha na kuwapa kazi nzuri ikiwa na maana kuwa wale wanaolala watatu watatu kwenye kitanda kimoja au kugalagala chini pale wodi za uzazi either ni wanaume au ni wanawake wa nchi jirani.hongera mama-keep it up
 
Nadhani tatizo ni ushoga ndani ya chama. Kuna kiongozi mmoja wa chama na mbunge wa kaskazini picha zake akiwa anaingiliwa kinyume na maumbile ziliwekwa mitandaoni na pia yeye mwenyewe alizigawa kuonesha ufundi wake wa kuingiliwa. Hicho ndicho kinachoiua CDM.

Naaaaammm???!!
 
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.

Ukiona adui yako anakuwinda kila wakati ujuwe wewe ni tishio.msijidanganye sana kama Chadema kinaanguka huwenda ndio kinataka kwenda kuwa na nguvu zaidi .mliwahujumu sana lakini watarecover soon!
 
Subiri mwakani kwenye uchaguzi mkuu tuwapige 3-0 ndio mtaelewa nini maana ya Peoples power.
 
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.

Demokrasia imara ni pamoja na kuwa na vyama imara katika kushindania ridhaa ya kuongoza Nchi. Na hapo wanaofaidika ni wananchi. Ila sisi watanzania na ulofa wetu kwa kuangalia maslahi binafsi,kila siku ni upuuzi wa kutabiri ohh CCM itakufa, ohh CDM itakufa...Ebo kwanini vife...badala ya kutaka vikomae zaidi..
 
ukilala na kuamka...Sindelusis Wariobalisis, Sindiism Wariobacts itakuwa imeshuka kichwani....
 
viongozi wa chadema wamejisahau kabisa. kufukuzana ndio kwingi.mbona magamba hayafukuzani? yenyewe yanawekana sawa tu.
chadema kila kitu mnakiweka wazi. badala ya kukaa na kukijadili kimya kimya ndani ya chama.mnakitoa nje mnaanza kupayuka ndio matokeo yake. nimehamini maneno ya Baba wa taifa bado yanafanya kazi. zambi ya ubaguzi ni mbaya sana mkisha wabagua wenzenu zambi hii itaendelea kuwatafuna.
ndio zambi inayowatafuna chadema.
hasa viongozi wamelewa madaraka. wamejifanya wakubwa. haya sasa yako wapi?
kila uchaguzi wanaangukia pua. hii yote imetokana na zambi ya ubaguzi. wamejio(na wao
 
viongozi chadema umefika wakati wa kujilekebisha kuehelekea uchaguzi mkuu. la sivyo tutaendelea kupolomoka.
 
Haya matamko yenu humu ni mengi sana, alianza Wasira akasema, CHADEMA mwisho 2013, tuko 2014. Kila mtu akikurupuka anguko la CHADEMA. Haya matamko yenu yanazidi kuimarisha chama sana. Mkitaka hiki chama kifutike, timizeni ahadi mlizowapa wananchi. Eti Kigoma itakuwa kama Dubai??? Watanzania wa leo siyo wa mwaka 47, eti zidumu fikra sahihi sijui za nani!!!
 
yaelekea wewe hakulala nyumbani, asubuhi hii unawashwa na chadema? badala ya kuzungumzia kuhusu katiba mpya na mkanganyiko uliotokea jana wewe uaanza na Chadema. Kwani hawara yako amekuambia nini kuhusu rasilimali za nchi hii zinavyoporwa na Maccm? kweli wewe ni wa mgombani

Ww jamaa una hoja mfu. Acha hasira pokea ukweli. Chagadema chali.
 
Hahahahaaaa.. vipofu bwana, eti uchambuzi murua.. Hii kweli mahaba nitese. Mtasubiri sana hilo anguko na badala yake mtajikuta mnaanguka nyie.

Kuanguka ss una maana gani? Chagadema ni mfa maji tu.
 
CHADEMA haitaanguka kamwe ni tofauti na vyama vingine vilivyoibuka enzi za nyuma.Misingi tuliyonayo ni thabiti ndo maana wasaliti wanajitoa.Hata ww utakuja umia endapo ikitokea kikaanguka.MUNGU TUSAIDIE.

Mungu hasaidii matapeli. Poleni sana chagadema.
 
Mamndenyi , Mwanasiasa wa kiingereza anayeitwa Harold Wilson alishawahi kusema, A week is a long time in politics.

CHADEMA walikuwa wanabebwa na siasa za uwongo, majungu na kilaghai ambazo zilikuwa zinatumia lift kuwafikia wananchi huku ukweli ukitumia ngazi.

Kwa sasa ukweli umefika kwa wananchi na matokeo ndiyo haya tunayoshuhudia.

Kuna viongozi wengine waridiriki mpaka kwenda London na kupiga picha mbele ya helikopta na kuudanganya umma kuwa wameenda kununua helikopta katika mwendelezo wao wa siasa za uwongo na ulaghai.

It's time to catch up with reality.

Hebu waulize, hiyo helikopta walinunua?.

attachment.php


Thread yake ilikuwa hii,
Huyo k,,, nge anawo uwezo wa kukagua chopa?? Anafahamu nini kuhusu chopper zaidi ya kupanda
 
Back
Top Bottom