Niko mwana ccm hai namba yangu ..........987; na kwa taarifa yako fupi pia ni mwana uwt hai kwa namba.........504.
Nina uhalali wa kuanza na kalenga kwa kuwa watu wenu walitimuka bungeni na kukimbilia huko;
mwisho wa siku hawachelewi kuweka pingamizi kwa maamuzi; sasa ni nini kilichowapeleka huko kalenga.
Toa maelezo basi ni mambo gani kwa muono wako yanakuonesha kimeanguka,ili tuweze kujadili critically.Ulivyoandika umeandika kishabiki na wachangiaji watachangia kishabiki.
Kila mtu akiandika kinyume Na CHADEMA Mnamuita buku7.Humjui huyo kama ni mwanachama wenu
Mamdenyi na ww umejiunga na CCM's propaganda machine?
Ushindi wa CCM Kalenga ndiyo case study yako kama CHADEMA imesambaratika?Mwaka 2010 nani alishinda Jimbo hilo kwa kura ngapi?
Siku hizi JF kila mtu ni mchambuzi wa siasa ahahaha!
laana kumbe! watubu basi....Wamekanyaga wapi;
laana nazo zinawamaliza.
Hayo ni mawazo ya watu waliofariki dunia
Huyu mamdenyi ni kama light beer vile. Mwana propaganda asiye na uelewa, zaidi ya ushabiki. Huko ccm wako wengi walipelekwa bulgaria na nchi zingine za ulaya mashariki kusomea propaganda za kikomunisti. Wamerudi hapo bongo wamechanganyikiwa.
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
Tena kimewaganda kweli kweli hawana namna.Jitahidi kusema ila kifo chenu mnatembea nacho.
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
Alipokua naibu katibu mkuu chama kilipata kura 3000 kalenga.Leo sio Naibu Katibu Mkuu tuna kura zaidi ya 5000 pamoja na hujuma zote
Alipokua naibu katibu mkuu chama kilipata kura 3000 kalenga.Leo sio Naibu Katibu Mkuu tuna kura zaidi ya 5000 pamoja na hujuma zote
Oooh Nicas Mtei upo? Chama cha mzee kinakufa aiseee