Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.
Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung’ang’ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.

Wee umepangiwa na Mungu kutoa thread za kimapenzi tuu siasa iwe kushoto. Ongea mambo za dushelele na hyo yako tutakuelewa
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima kupost, unaweza kuchangia kwa wenzako wanaopost kamba za kueleweka afu ukaongeza idadi za post na rep
power. Kamba haieleweki mamdenyi!! review
Bado una hangover ya Kalenga hapa huwezi kuelewa kitu endelea kumeza painkiller.
 
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.

Hahahahaaaa.. vipofu bwana, eti uchambuzi murua.. Hii kweli mahaba nitese. Mtasubiri sana hilo anguko na badala yake mtajikuta mnaanguka nyie..
 
sababu kubwa ni chama kuendeshwa kama kikundi cha watu, wenye hisa nyngwanafikia maamuz ambayo hata hayana tija kwa chama
 
Kinachowamaliza ndio hiki;
hamjakomaa kisiasa;
hivi unafikiria kuwa naogopa matusi mimi?
kipimo cha ukomavu nini? ni kukaa kimya wakati rasilimali zetu zinaporwa? wewe unataka utukanwe lakini sisi tutakueleza ukweli..kwa tafsiri yako unaweza kusema ni matusi..but anyway it depend how you look things in the politics point of view
 
Hakuna wanachokifanya;
Hivi ukiwa unaruka huko angani ha helkopta utawaona wapi hao wananchi ili usemezane nao?
mbona helcopter inakutetemesha sana? hii ni aina ya usafiri tu, hata maccm siyameiga nayo yanatumia? but all in all we needs good roads which can be passable throughout the year
 
CHADEMA haitaanguka kamwe ni tofauti na vyama vingine vilivyoibuka enzi za nyuma.Misingi tuliyonayo ni thabiti ndo maana wasaliti wanajitoa.Hata ww utakuja umia endapo ikitokea kikaanguka.MUNGU TUSAIDIE.
 
Hatutaki waanguke tunataka wawe wazalendo na kutii mamlaka mambo yao ya kihuni waachane nayo

that's right mkuu, hawa jamaa ni wahuni sana, kila jambo lao hulifanya kwa vurugu na ubabe na vitisho. Hawana muonekano mwema kwa wapenda amani wote nchini! Inafikia mahali,wanapokuwa na mkutano bila kujali kwamba waliohudhuria pale sio wote ni chadema,basi utalazimishwa uishangilie na wale wahuni wao(red brigade) na eti uonyeshe mialama yao ya midole miwili kwa lazima ili wapige picha. Ukienda kinyume nao, pengine ulikuja kusikiliza tu ili ufanye maamuzi ya kumpigia kura nani, basi utaitwa msaliti, muhaini na unaweza hata kudhuriwa! Hao eti ndio wanataka dola! Maajabu! Rest in Hell chagadema.
 
Back
Top Bottom