Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
Kabla hujapost mwombe Nape ushauri kwa ujinga kama huu utalipwa kweli?
Huyu jamaa sio gamba ila ni mnazi wa kutupwa wa zito
Kabla hujapost mwombe Nape ushauri kwa ujinga kama huu utalipwa kweli?
Chama gani cha siasa wanaosaliti na kukiuka kanuni ni wa kabila nje ya wachaga Wakati kimejaa wachaga tu. Jiulize na chukua hatua sasa na kutoka familia ya Mushi, minja, lyimo, Urasa, Chuwa, Lema, mtei n.k.
kihoro hichi ... anzisha chama chako ambacho kitakuwa na sera ya kuwa na mianya ya kuruhusu kuvurugwa na ccm ....
hii yote ni hasira ya kushindikana kwa zoezi la kuihujumu CDM na kuivuruga
Unaakili timamu unampa kura mtu aliyelaniwa na mungu hadi kamufukuza upadre kwa uzizi.
Ni masikitiko kwa kauli hizi Kwani chama ni cha wote mbona mi mgogo na ni cdm? ???.
Kwani Zitto yeye ndo mtabiri wa kuwapa moyo ccm itasambaratika vipande vipande wasipompitisha Lowasa kuwa mgombea wa uraisi ndo mwisho utakuwa umefikia hata wakikubali kumpitisha bado Lowasa hataweza kushinda kwa sababu naye ni fisadi kwa njia yoyote lazima ccm ife mwaka huu waliotangaza nia za kugombea uraisi wote wana team zao mwenzao akitoswa ni kuharibiana makundi tayari yameshaiua ccm.Amini nakuambia nchi hii haitatokea rais kutoka chadema, atakayeitoa madarakani ccm.. ni zitto pekee.
una effects gani wewe,, wewe si kuongeza idadi tu! we unafikiri kwanini Shibuda hawajamfukuza?
Mawazo ya kipumbavu lakini uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo.Sidhani kama cdm ni chama cha watu wenye akili timamu. Ni watu walioshindwa maisha.
Hili tumeliona mkuu,,, tumeshachukua hatu.
Wanafiki utawajua tuu mbona Zitto amefukuzwa mmelalamika sana Shibuda yule tunampuuzia tunamjua muda wake kuendelea kuwa mbunge unahesabika.
Sidhani kama cdm ni chama cha watu wenye akili timamu. Ni watu walioshindwa maisha.
Ni ukweli 100% hawa watu wamechoshwa kupalilia mingomba uromboni.
acha ife, maana imetugeuza watanzania kama wajinga wote, nasema chadema kufa kufa kufa. wachaga wakapalilie migomba yao.
chama cha udini na ukabila ni ccm.hujielewi unafata mkumbo kama samaki. achana nao hao wachaga wanakupoteza wakati, slaa mwenye ni mzizi msaliti alilisaliti kanasa katoloki kwa uzizi wake wakumfukuza upadre, eti leo hii nilinataka kura za wanainchi. ha ha ha ha hakika slaa kuwa na raisi katika nchi hii ni sawa kusema sokwe ataitawala tanzania. shutuka wewe mtanzania, acha kuyumbishwa na warombo
na wewe una akili timamu? unampa kura mtu mwenye laana nzito kutoka mbinguni aliyewafunga familia nzima maisha jela eti kisa kugombea hawara tu.anayesimamia wizi wa pesa zetu na raslimali huku akiitukana pesa yetu kwa kuiita madafu,wewe shyland ni zero brain nenda kachunge ng'ombe tu ndo kazi unayoweza huna unalojua.
Ungeonesha hiyo ruzuku ni shilingi ngapi, inatumikaje na maeneleo ya CHADEMA yanadidimi (anguka) kivipi. Vinginevyo wengine tunashindwa kuelewa.Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.
Demokrasia na Maendeleo.
Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.
Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.
Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.
Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.
Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.
Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.
Wauwaji nyie