Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko ni kufa na kusahaulika;
......... hayo mengine uliyoandika yanaonyesha chuki tu huna jipya.

Nini maana ya anguko chadema amepoteza vit vingapi?ccm lin mmefanya uchaguzi wa mwenyekiti wa chama kidemokrasia acha mbwembwe huna hoja mnatumia ujinga mlioupandikiza kwa watanzania kuwatawala subiri kidg zito c chadema wala jk c ccm achakuchanganya mambo
 
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.

Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.

CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.

Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung’ang’ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;

Nawasilisha.

Unaposema Anguko limetimia umetumia kigezo kipi? Ungekuja na data zinazobeba hii hoja yako labda ungeeleweka kwani kiuhalisia hakuna sehemu hapa nchini ambako CDM katika hizi chaguzi ndogo zilizofanyika wamepata kura pungufu ya zile za 2010 kilichotokea kura zimeongezeka.
Kama CDM ingekuwa imekufa watu wasingehudhuria kwa wingi katika mikutano yake huwezi ukasema chama kimekufa huku kikiwa na wapenzi na washabiki wengi kiasi hiki.
 
"Nabashiri Chadema kuanguka na kusambaratika kabisa, sababu ni ubaguzi,ubinafsi na ulaghai" Stephen Wassira.

Mtasubiri sana na msipoangalia mtasambaratika nyie na chama chenu CDM itaendelea kudumu daima.
 
Ben Saanane tena wewe ndo usiseme kabisa;
hivi unaonaje ulivyotelekezwa na hicho chama chako?
Kijana msomi umebaki tu huku wakati wenzio wanakula wakiwa wamelala.
Shauri zako lakini.

baada ya kushindwa kazi ya kumlisha sumu zito dr slaa hataki hata kumuona ben saanane
 
Last edited by a moderator:
mwalimu JK Nyerere alisema''''' BILA CCM MADHUBUTI, NCHI ITAYUMBA"' Nami nasema"" BILA UPINZANI MAKINI, CCM ITABWETEKA NA HATIMAYE ITAKOSA UMADHUBUTI NA KUSABABISHA NCHI KUYUMBA""" Ukiwa mzalendo wa kweli huwezi kufurahia anguko na sambaratiko la vyama vya upinzani. ila kwa mtindo wa siasa za chadema!! kila mwenye mapenzi mema kwa taifa letu basi atakuwa anafurahia hili anguko tunalolishuhudia la chadema.
nami naiombea chadema isanguke tuu bali ife kabisa
 
Walau Zogwale una akili;
...... andika CCM

Haya mkuu furahia moyoni mwaka CCM= Chama cha Mapinduzi ila sasa mahasimu utasikia cha Majambazi, Majangili, Mafisadi, Mauaji and the like!!!! Je hii tasiri nying hivi ya CCM ina ukwel ndani yake!!!! Maana kwa hali ilivyo kwa sasa hasa baada ya kifo cha muasisi wa taifa hili tunaona kama kuna kaukweli Mamndenyi.
 
Ben Saanane tena wewe ndo usiseme kabisa;
hivi unaonaje ulivyotelekezwa na hicho chama chako?
Kijana msomi umebaki tu huku wakati wenzio wanakula wakiwa wamelala.
Shauri zako lakini.
wanaokula wakiwa wamelala ni mafisadi, sasa na wewe unataka awe fisadi au mantaka kumnunua?
 
Unaanza tena akili ya kitoto;
Haya mkuu furahia moyoni mwaka CCM= Chama cha Mapinduzi ila sasa mahasimu utasikia cha Majambazi, Majangili, Mafisadi, Mauaji and the like!!!! Je hii tasiri nying hivi ya CCM ina ukwel ndani yake!!!! Maana kwa hali ilivyo kwa sasa hasa baada ya kifo cha muasisi wa taifa hili tunaona kama kuna kaukweli Mamndenyi.
 
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.

Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.

CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.

Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung’ang’ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;

Nawasilisha.

mm naona opic yako imekaa kishabiki. ulipaswa uchambue kwanza chaguzi zimefanyikaje na mazingira yake kisha ndipo ulete maoni yako. hapo tungeweza kuchangia ila naona umekurupuka bila utafiti. no research no right to speak
 
Nini maana ya anguko chadema amepoteza vit vingapi?ccm lin mmefanya uchaguzi wa mwenyekiti wa chama kidemokrasia acha mbwembwe huna hoja mnatumia ujinga mlioupandikiza kwa watanzania kuwatawala subiri kidg zito c chadema wala jk c ccm achakuchanganya mambo

Kama mnawaita watanzania wajinga kwa kuwa walipandikizwa ujinga na maccm unategemea watakupeni kura!
 
Back
Top Bottom