Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.
kwani
meanza kusema keo?hui utakuwa ndiyo wimbo wenu chadema inakufa chadema inakufa!mjifariji tu,mtakufa nyie chadema itabaki
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.
Mbowe aliapa kufia angani ili wapate Jimbo la Kalenga.
Kauli ya Wassira itatimia, its a matter of time.
Alipokua naibu katibu mkuu chama kilipata kura 3000 kalenga.Leo sio Naibu Katibu Mkuu tuna kura zaidi ya 5000 pamoja na hujuma zote
"Nabashiri Chadema kuanguka na kusambaratika kabisa, sababu ni ubaguzi,ubinafsi na ulaghai" Stephen Wassira.
Mbowe aliapa kufia angani ili wapate Jimbo la Kalenga.
Nadhani tatizo ni ushoga ndani ya chama. Kuna kiongozi mmoja wa chama na mbunge wa kaskazini picha zake akiwa anaingiliwa kinyume na maumbile ziliwekwa mitandaoni na pia yeye mwenyewe alizigawa kuonesha ufundi wake wa kuingiliwa. Hicho ndicho kinachoiua CDM.
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
Kwani saa hizi yuko wapi? hajafia angani kweli?
Tuko kwenye Bunge la katiba Warioba anawaumbua wanafiki wa serikali mbili...
mleta mada cdm inawapa muweweseko kila wakati jina la cdm limewakaa mdomoni lumumba kuliko majina ya wake zenu