Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

Wakimbieni;
hawakawii kujipiga mabomu wenyewe;
siyo watu wema hawa.

that's right mkuu, hawa jamaa ni wahuni sana, kila jambo lao hulifanya kwa vurugu na ubabe na vitisho. Hawana muonekano mwema kwa wapenda amani wote nchini! Inafikia mahali,wanapokuwa na mkutano bila kujali kwamba waliohudhuria pale sio wote ni chadema,basi utalazimishwa uishangilie na wale wahuni wao(red brigade) na eti uonyeshe mialama yao ya midole miwili kwa lazima ili wapige picha. Ukienda kinyume nao, pengine ulikuja kusikiliza tu ili ufanye maamuzi ya kumpigia kura nani, basi utaitwa msaliti, muhaini na unaweza hata kudhuriwa! Hao eti ndio wanataka dola! Maajabu! Rest in Hell chagadema.
 
Ni mwehu peke yake anaeweza kuweka mapenzi yake kwa CDM
 
Mtaugua sana mwaka huu
na bado hadi mchanganyikiwe muanze na kubeba makopo barabarani.

Ccm bwana hao waokota makopo barabarani si ndo sera yenu,Sera yenu ya kujiajiri kuna mamantilie waokota makopo na bodaboda
 
Kalenga si kigezo cha kujidanganya kwamba CDM inapungua umaarufu. Pale ilikuwa ni kujipima nguvu na kuona jee parapanda la CDM limeshawafikia wananchi hasa wale wa vijijini? Jibu hapana ina maana kazi kubwa lazima ifanyike sasa - ni nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa, kitongoji kwa kitongoji hasa mikoa ambayo bado imelala -TABORA, IRINGA, SINGIDA na DODOMA.
 
Mnakimbia mapori mnataka ajira ambazo hazipo;
njoo huku niliko nikutatie hata miguu sabini kwa sabini ulime ufuta.

Ccm bwana hao waokota makopo barabarani si ndo sera yenu,Sera yenu ya kujiajiri kuna mamantilie waokota makopo na bodaboda
 
mungu wako wa baali siyo Mungu wangu wa Eliya.

Mungu wa Elia ndio anakuambia ushirikiane na wezi kuiba mali za watanzania? Au wewe ni chakula yao. Linda ugani wako mama manae wakiondoka hao utakula nyasi
 
Hayo ni mawazo yako;
Wenzio wanachokijua ni matukano tu;
si unaona tofauti zenu zilivyo, hivi kweli mtafika?

Kalenga si kigezo cha kujidanganya kwamba CDM inapungua umaarufu. Pale ilikuwa ni kujipima nguvu na kuona jee parapanda la CDM limeshawafikia wananchi hasa wale wa vijijini? Jibu hapana ina maana kazi kubwa lazima ifanyike sasa - ni nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa, kitongoji kwa kitongoji hasa mikoa ambayo bado imelala -TABORA, IRINGA, SINGIDA na DODOMA.
 
Kama ni kweli ni kwa sababu ya watu msiojitambua kama wewe!
 
Hata lile kundi langu la wazee pale mtaani kwangu
wengi walikuwa hicho chama lakini wamenyoosha mikono juu;
karibia wote wamesharudi kundini .... CCM.

Ni mwehu peke yake anaeweza kuweka mapenzi yake kwa CDM
 
Back
Top Bottom