Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Status
Not open for further replies.
that is a point.
None desserves to live like in paradise while starving. no assurance of clean and safe water. education system being categorized. group A for their families and group B for Kajamba nani( their kids abroad) and Kajamba nani have access to school buildings.
we want to have the same standard of living.
First we need mind revolution for those who still supporting CHAMA CHA MAJIZI. educate your brodas, sister, uncles aunts, kids cousins and whoever close to you. Together we can change Tanzania to be a PARADISE for all. not only for Kiwete, Lowasa and all majizis.

Bora ukavute ganja na kudansdans reggae!
 


Serikali, kupitia Waziri Ngeleja, imetangaza kuridhia kuwalipa hao Dowans mabilioni ya wa Tz. Inalazimika kulipa kutokana na mtu au watu ndani ya serikali waliotumia madaraka vibaya na kusababisha kitu hii.

Jee mtu au watu hao watafikishwa mahakamani, kama vile walivyofikishwa mahakamani akina Mramba, Mgonja na Liyumba kwa kosa kama hilo, la kutumia madaraka vibaya?

Kwa mfano ni nani katika serikali aliidhinisha kuvunjwa mkataba wa Dowans? Huyo ndiyo aanze kupelekwa mahakamani ili at least maumivu ya Watanzania kutokana na hasara hiyo yasipite bila ahuweni kidogo – yaani yasipite in vain.

Kwako JK. Ni wewe ndiyo uliidhinisha kuvunja mkataba na kuwatia hasara wananchi wako? Ni time ya kuambizana ukweli na kukiri, au?
 
Refer to Invisible secret docs Part II .... annex doc... confidential letter from PM Mizengo Pinda to Hon. Minister Ngeleja.... wazi kabisa ana instruct avunje mkataba na DOWANS haraka.......
 
ili baadae tuwalipe au kwakuwa dowans ni kampuni fake isiyo na ofisi wa mashare holder wanaojulikana, matokeo yake ina shikiliwa na mwana sheria wao ambaye nae hajulikani, lakini hapa bongo anaye pokea hizo pesa ni rostam , je atawapaje hao share holders wakweli wa hiyo kampuni? jua kali anako ipeleka nchi ni Mungu tu anaye jua.
 
Refer to Invisible secret docs Part II .... annex doc... confidential letter from PM Mizengo Pinda to Hon. Minister Ngeleja.... wazi kabisa ana instruct avunje mkataba na DOWANS haraka.......

Sasa kama kosa ni la JK, kwa nini hataki kujiuzulu? Hivi nchi hii ikoje? Mikuu wa nchi anavurunda ile mbaya na hasara inabebeshwa wananchi. Na aliyevurunda kauchuna! This is shit!!!
 
Waziri Mkuu mwingine kujiuzulu February 2011? Baraza la mwaziri kupanguliwa? Ngeleja out?
 
Halafu hayo majina ya wanaosemekana watakaolipwa -- mbona yamekuwa closely guarded secret kwa muda mrefu? Kama hakuna harufu mbaya, kwa nini kuyaficha ficha? kama kila kitu ni open, why this apparent fear?
 
Kwa mujibu wa fafanuzi mbali mbali ambazo zimekuwa zikitolewa kwenye forum hii, uamuzi unaoitaka TANESCO kuilipa Dowans mabilioni ya fedha hauna nguvu zozote kisheria mpaka kwanza upate ridhaa ya mahakama kuu. Je, mahakama kuu imekwisha ridhia uamuzi huo? Kama haija uridhia, huu uamuzi alio utangaza waziri Ngereja ya kwamba serikali imekwisha ridhia malipo hayo, umefikiwa kwa msingi upi? Naomba nisaidiwe majibu.
 
wajuvi lets do a background check on the share holders of DOWANS,nahisi madudu yatajitokeza
 
Court injunction is an order of a court requiring a person, corporation, or government entity to stop doing something ... from source.

Ninaomba kujua kama inawezekana kuwekwa court injuction ili malipo ya DOWANS asifanye?

Na kama ni lazima yafanywe basi mchakato upitie Bungeni ... kwa Wabunge (wawakilishi wa walipa kodi). Naamini kodi yangu na yako ndio inatumika kuwalipa.


Together we can
 
mkuu, wakubwa wakishaamua wameamua, watalipa tu. kuchelewesha kutaongeza burden hasa kwa iriba itazidi kukua. huko bungeni nako ni yaleyale, kwani ya richmondi yameishia wapi? naamini bado unakumbuka
 
Kutoka ripoti ya kamati teule ya bunge kuhusu Richmond.
Mfano mdogo tu ni wa Ndugu Mohamed Saleh, aliyekuwa Mkurugenzi wa Usambazaji wa TANESCO na rafiki wa karibu wa wamiliki wa Richmond Development Company LLC. Alishiriki kwenye Kamati ya Wataalam na Kamati ya Serikali ya Majadiliano. Alipostaafu tu TANESCO, akawa mmoja wa wahandisi waandamizi wa DOWANS HOLDINGS S.A iliyochukua majukumu ya Richmond Development Company LLC.

Vipi Mohamed Saleh, mbona kimya ?
 
Mfano majina ya maofisa waandamizi toka TANESCO walionegotiate ule mkataba

Maofisa toka wizara ya NISHATI

Maofisa toka kwa mwanasheria mkuu wa wakati ule

Wanasheria wa wa TANESCO na SERIKALI

I think we should be even handed kwa sababu sioni kwa nini tunataka kukwepa kuwapa lawama hawa wakati docs zote zimo humu JF

Leteni majina yao na wao tuwajue
 
Aung San Suu Kyi's position is that of a classic democratic liberal: Says

"governments must be chosen by the people and once in power must permit opposition. The basic principle of allowing people to voice views you disapprove of is alien to authoritarian regimes",

Hon. MP. Samwel Sitta anaweza kututoa kimasomaso katika suala la malipo yaliyo na utata kwa kampuni ya kuzalisha umeme wa gesi ya DOWANS..?.. wananchi wanaweza kunyanganywa hazina yao pasipo haki na viongozi wetu wakaendelea kustahimili ukimya...? kwa kutumia usemi wenye nguvu ya umma uliotolewa na mwanaukombozi wa Burma Aung San Suu Kyi ambaye aliwekwa kizuizini nyumbani kwake kwa miaka 15 na mwishowe ameachiwa na anaendelea na mapambano

Ninaamini kwa ujasiri huu Sitta anaweza.... na saa ya ukombozi ni sasa

Wanaharakati wote tutafakari maneno hayo hapo juu .... na kutoa maelekezo halisia ya kulitendea haki taifa letu
 
Anguko la CCM linakaribia kwa kasi ya ajabu kama wasipotekeleza haya hapa yafuatayo:-

  1. Kushindwa kuendana na kasi ya mabadiliko ya kisiasa nchini. Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa vijana ambao miongo kadhaa iliyopitwa walisahaulika sasa wameamka na kuliona hilo hivyo kujenga chuki kubwa na chama tawala! Hili linaendana na ukosefu wa ajira unazidi kuongezeka kila kukicha. Sina hakika hata kama chama kingine kikiingia madarakani kinaweza kuliondoa tatizo hili kwa mtazamo wa vijana.
  2. Ufisadi unazidi kutamalaki kila kukicha. Mikataba mibovu ambayo inaingiwa sirini na kisha kuleak kwa wananchi ina sura kama mbili:- a) Usiri huu, unakuwa barrier baina ya wananchi ambao ndiyo wapiga kura na serikali endapo itatokea mtu wa kati akachonganisha kuwa mikataba fulani haina maslahi kwa taifa. Serikali inakuwa ya kukanusha tu hivyo sumu inayopakwa nje kui - neutralize inakuwa kazi na hivyo kuendelea kupunguza imani kwa CCM ambacho ndicho chama tawala. Mfano ni mkataba wa Buzwagi, Meremeta, Richmond n.k Hapa hali inakuwa siyo mbaya sana kwa sababu hatua hii ni propaganda sana, UWT hutumika sana kukanusha habari hizo na kuwapaka matope watoa habari ambao huweza kupewa majina ya kila aina mfano vizabinazabina, wachonganishi, wambea, watu wenye husda na chuki dhidi ya serikali, wasio na shukrani kwa serikali na mengine mengi tu. b) Upande wa pili wa shilingi, ni pale shutma hizo zinapoonekana kuwa na ukweli kwa wananchi. Hili limetokea kwa mkataba wa Richmond ambapo awali ulionekana ni unafiki wa kina Dr. Slaa na sasa serikali inapa mabilioni ya fedha ambapo kila mwananchi analaani serikali kwa kukubali kulipa fedha hizo kwa linaloitwa kampuni feki Dowans. Athari ya mambo haya, kwanza ni kuwapa mtaji wapinzani wako na pili kujenga chuki zaidi kwa wananchi dhidi ya serikali. Ukiangalia hoja ya ufisadi imeisumbua sana CCM katika uchaguzi uliopita kiasi cha kutaka kuibua siasa ya maji taka!!!!
  3. Vyombo vya habari. Hivi navyo vimeonekana kugawanyika katika kuripoti matukio mbali mbali. Vipo ambavyo vinaonekana kutoegemea upande wowote. Vyombo hivi vimeleta athari kubwa sana katika jamii, mf wa magazeti kama Mwananchi, Raia Mwema, Mwana Halisi, ambayo kiukweli mzunguko wake ni mkubwa kulingananisha na megine. Upande wa TV, ITV, Channel Ten, Star Tv kiasi fulani imeonekana kutokuwa Bias katika kutoa habari. Hapo awali hususani katika uchaguzi wa 2005 vyombo vya habari vilitumika sana kuisifa CCM tofauti na uchaguzi huu ambapo mgawanyiko ulikuwepo wa wazi kabisa. Inaaminika vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa dola ukiondoa, bunge, mahakama na serikali kuu kutokana na umuhimu wake.
  4. Makundi ndani ya CCM, haya yamezaliwa na kura za maoni, wabunge wanaopinga ufisadi na wale wenye mtazamo wa kawaida. Makundi hayo bado ni chachu ndani ya chama hali iliyoppelekea kutokuaminiana.
  5. Matumizi ya nguvu kupita kiasi. Hili ndiyo kama limebaki kimbilio la CCM kukabiliana na mabadiliko ya siasa nchini. Wafanyakazi walipotaka kuandamana waliambiwa wangekabiliwa na nguvu kali ya dola, kauli hii ilitika kwa mkuu wa nchi!! Juzi tu Arusha matumizi ya nguvu kupita kiasi yamejithibitisha ambapo hekima ingetumika yasingetikea yote hayo. hili nalo linazidisha chuki kwa wananchi wakiamini serikali yao haiwatendei haki labda wakitaka kuandamana kupinga Malaria haikubaliki ndiyo watapata kibali toka polisi lakini maandamo mengine yoyote ya amani yenye muonekano wa kisiasa hata iweje hayawezi kukubaliwa. Kibaya zaidi nguvu yenyewe ya dola inayotumika inaidai madeni serikali ambayo hayazidi hata billion 20. Haya yamezaliwa kutokana na kupewa uhamisho bila malipo, night allowance, lakini hayakulipwa kisha bilion 95 za Dowans zipo. Nakumbuka aliyekuwa naibu waziri Kagasheki alitoa ufafanuzi bungeni kuwa madeni ya askari yangelipwa lakini kumbe ilikuwa ni kiini macho na iliaminika labda wangelipwa kabla ya uchaguzi lakini hali bado tete mpaka sasa. Nao wameichoka CCM lakini amri ya mwisho ndiyo halali.
  6. Mwisho ni kuchokwa kwa CCM na wananchi, kuna baadhi ya maeneo ambapo upinzani haujafanya la maana sana lakini upinzani bado una nguvu. Hii imechangiwa sana na vyombo vya habari kuanika ouvu wa CCM.
Mwisho wanaJF yapo mengi tu lakini kwa leo nawakilisha haya kwa mjadala zaidi.
NI MTAZAMO TU.
 
Natabiri: Anguko la CCM ni DOWANS!!! Kila nikipiga taswira yangu naona ni hivyo tu. CCM haifiki 2015, itafia mikononi mwa JK ambaye anashindwa kuithibiti kwa sababu mafisadi wameishika, na pia wamemshika barabara -- hafurukuti.

Baraza la mawaziri patawaka moto -- na Sitta hatakuwa peke yake, hiyo ninayo hakika. Anaonyesha ujasiri mkubwa kwa yeye waziri kusema malipo ya Dowans ni wizi tuuu. Nasikia mawaziri wengi tu wana msimamo kama huo. Hakika ni wizi.

Hebu fikiria alivyosema Ngeleja kwa mfano: Eti hatimaye wamegundua kutoka Brela kuwa wamiliki wa Dowans ni fulani na fulani na fulani... That's nonsense!

Yaani serikali iliingia mkataba na Dowans, na msururu wa yote yaliyotokea pamoja na kesi hii, siku zote haikuwa inajua wamiliki wa Dowans -- hadi juzi tu baada ya hukumu ya ICC kutolewa? Jamani, mawaziri wa JK mbona ni vichekesho sana?

Watz wote siyo mabwege kama wanavyofikiria, na nina hakika kuna wakubwa katika serikali hawaipendi hii kitu.

Anguko la CCM ni Dowans... you have to believe me.



 
bora wangejilipa kama epa kuliko kutuambia sasa ndio wameamua kuiba mchana kweupeee. Jambazi anakuarifu kuwa leo mchana nakuja kukuibia . Ngeleja hana aibu kabisa blad fu
 
How truth was twisted

By Correspondent

* Sitta differs with Ngeleja on compensation

In December last year, finally the bad news to millions of poor Tanzanians but good story to the masterminds of the dubious deal, came out when the International Chamber of Commerce Tribunal ordered the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) to pay Dowans Holdings(T)Limited a whopping $ 62 million (about Sh 93 billion).

And, on Thursday, the Minister for Energy and Minerals, William Ngeleja, concluded the matter when he officially declared that Tanesco will have to pay the whopping billions to Dowans as decided by the ICC, dashing earlier hopes of appealing against the ruling.

Earlier before the minister's conclusion, the government's Chief Legal Adviser, Justice Fredrick Werema, told the media that after carefully studying the ICC's judgement, his opinion was that there was no room for appeal, adding that the judgement was a result of politically motivated decisions.

The Attorney General told the media that after thoroughly reading the 100-page judgement, it was impossible for Tanesco to have a strong appeal and therefore the latter will have to bear the brunt of bad political decisions, which led to the termination of the dubious power supplying contract in mid 2008.

Though to many, the judgement came as a surprise, to the architects of the deal it was a well calculated move - and a road to rob the poor to pay the company that dubiously won the power generating tender.

In the request submitted at ICC Tribunal in November, 2008, Dowans prayed for payment of $ 149million, allegedly for breach of contract and for partially unpaid capacity charges in the case heard in June this year, but ended up being awarded $ 68 million.

According to the 100-page judgement, a copy of which The Guardian on Sunday has seen, earlier the controversial Dowans Holdings had filed an application at the ICC demanding a total compensation of $149 million (Sh223 billion).

Dowans claimed that Tanesco's move to terminate the contract it inherited from the US-based firm Richmond Limited Liability Company was unlawful.

It also further claimed that the termination was reached because of political and media pressure in Tanzania.

Dowans Holdings was controversially assigned by Richmond LLC to undertake the responsibility of generating and supplying electricity to Tanesco, after the US firm totally failed to deliver within the agreed period specified in the contract.

The company was operating five gas-powered turbines with a total output of 112 megawatts.

Tanesco was to pay more than 100bn/- in capacity charges alone to Dowans Holdings during the two-year duration of the dubious contract.

Before the end of last year, the government's Chief Legal Adviser, said his office was thoroughly reading the 100-page judgement in order to establish whether it could file an appeal or not.

But, just a week ago, the Attorney General dashed the hopes of many when he revealed that there weren't any plans to file an appeal, adding that Tanzanians should bear the brunt of the Parliamentary decisions taken about three years ago.

Whether measured by the total headlines it has made or the amount poor taxpayers will have to pay, following the ICC's judgement, the Dowans scandal has rocked the nation and divided the public.

While some commentators have supported the move saying it is a lesson to politically motivated decisions like the one taken against the controversial Richmond deal, to many, this is a well coordinated theft perpetrated under the umbrella of the corridors of law.

If the Parliament established beyond reasonable doubts that the deal was dubious and unlawful, it is appalling to pay billions of taxpayers' money to the very same people who were behind the hesitant deal.

There's no doubt that the contract in question was null and void, after it was established by the Parliamentary Probe Committee, and an independent consultant that the original contract signed between Tanesco and Richmond was illegal.

To put things into simple perspective, the termination of the contract was a result of thorough investigation by the Parliamentary Committee, which among other things recommended that the deal be terminated immediately.

The Probe team also directed Tanesco to appoint an independent consultant to study the legality of the Richmond contract, and give legal opinions on how the matter should be ended.

If Richmond's contract was dubious and illegal, it's impossible for the Dowans Holdings (T) Limited, which is the inheritor of the Texas-based company to demand any compensation following the termination of the much debated contract.

The truth is very clear that Dowans Holdings(T) Limited inherited a contract, which was illegal, and therefore, had no legal powers to claim any damages resulting from the termination of the contract originally signed between Tanesco and Richmond LLC.

It is agreeable for the original contractor to assign a third party to undertake its responsibilities provided the previous contract was legally signed and had a legal clause that stated clearly that in case of any failure by the original contractor, the latter shall assign a third party to undertake the assignment.

According to the Minister for Energy and Minerals, by interpretation of the original contract, such clause was there, and that's why when Richmond failed, it sought a third party, Dowans Holding(T) Limited to undertake the tender.

But, in this particular case, it was established beyond reasonable doubts that the contract was seriously flawed and therefore lacked the merits of being a legal agreement between Tanesco and Richmond.

The contract that violated the Public Procurement Act of 2004, can't be termed a legal contract by all means, and that's why its heir, Dowans Holdings(T) Limited, lacks grounds to claims any compensation.

In issuing its judgement, the ICC based on the facts that despite all the public outcry as well as the findings by the Probe team, Tanesco continued to consume electricity from Dowans Holdings(T) Limited for about six months.

But, there's something totally wrong in the ICC's arguments. It should be noted that the government doesn't operate as an individual but as an institution. After the recommendations by the Parliament in February, 2008, that the contract between Tanesco and Richmond be terminated, the government agreed to do so, but needed time to consult with key stakeholders.

Before the termination, the government advised Tanesco to seek an independent consultant, who will study the contract in question and advise the company on how to terminate the contract.

Now while waiting for the termination of the contract, Tanesco continued to consume electricity from Dowans Holdings (T) Limited as per agreement in the dubious contract.

Tanesco couldn't just stop consuming electricity immediately after the tabling of the recommendations by the Parliamentary Probe Committee in February, 2008 because first, it needed enough time to engage an independent consultant to advice the company on how to terminate the contract in question.

Therefore the argument by ICC, which was also supported by AG and the Minister, is baseless.

It's also appalling to hear that the very same consultant that advised Tanesco on how to terminate the contract, and later on represented the Power utility firm at the ICC, is supporting the AG's stand that there's no room for appeal.

Something might be wrong somewhere because it's impossible for three different parties, the AG, the Minister and consultant to suddenly have the same opinion in a case which, two years ago, it was established beyond reasonable doubt that the deal was dubious.

Though the AG issued his legal opinions, it's not necessarily a reflection of what the court of appeal would have decided, and therefore taking his advice as a final verdict is also unjustifiable. Not every legal opinion is one hundred percent perfect when it comes to judiciary affairs, because in judging the case, the court considers various factors especially credible witnesses and facts presented by both parties.

It's the very same AG's office that failed to advice the government properly during the process to award Richmond a $179 million power supply deal in 2006 according to a report tabled by the Parliamentary Probe Committee led by Kyela legislator, Dr. Harrison Mwakyembe.

For those who have read the 100-page judgement copy, it's obvious that some of the witnesses who testified before the ICC were either coached by interested parties or acted under a very strong external influence.

For instance, while one witness told the ICC that the termination of the contract was caused by political pressure, the very same witness testified before the Parliamentary Committee in November, 2007 that the deal was marred by corruption and interference from certain prominent politicians.

There's also another strange U-turn taken by the government, which has left many people wondering. It's quick conclusion that there wasn't any appeal against the ICC's judgement, which is contrary to the earlier stand that the government would appeal after thoroughly reading the 100-page document.

We all know how it's difficult for the government to agree with various judgements especially those wanting it to pay billions as compensation. Today, there are many appeals before the high court or court of appeal filed by the government against various judgements issued in favour of private companies.

One of them is the long-standing case of Valambia and company, the legal cost of which is nearing what this very same government is ready to pay Dowans Holdings.

But, surprisingly, the very same government has softened its stance about controversial Dowans Holdings, which from the beginning was a dubious deal sealed under suspicious conditions.

Though the government finally named the so-called shareholders of Dowans Holdings, after three years of dilly-dallying, there are still more doubts about the authenticity of those mentioned as the directors of the company. We are told by the Minister that Dowans Holdings (T) Limited is owned by two major shareholders, namely, Dowans Holdings from United Arab Emirates and Dowans International from Costa Rica.

According to the Minister, the company was incorporated in Tanzania and registered by Business Regulatory and Licensing Authority (BRELA) in order to allow it to operate in the country.

Not only that but also the company has all foreigners as its directors according to the documents by BRELA. However, the authenticity of the names of the named directors is questionable, and the truth is that even BRELA itself can't verify various addresses given by the individuals during the registration process.

It's the same BRELA that registered the 33 companies which pocketed billions of taxpayers through Central Bank's External Payments Arrears, whereby till today, majority of those listed as directors can't be traced.

It's the very same authority that registered mysterious Deep Green Company, a shoddy firm that stole about $10 million from the Central Bank of Tanzania, but till today, its directors can't be reached.

Therefore for a Minister to rely on such a reckless organisation when making decisions about taxpayers billions is questionable. The masterminds of Richmond LLC are the ones who brought Dowans after their ‘trap' to steal failed to mature, and therefore they might have taken precautionary measures to conceal the real identities of the owners of Dowans Holdings(T) Limited.

It's unusual for a multinational company to operate without a website or proper address in today's world where technology is more advanced than any other century. First it was claimed that Dowans Holdings was registered in United Arab Emirates, but when we did thorough search in Dubai and Abu Dhabi, it was established that the company doesn't exist.

Then there was another twist; it was claimed that Dowans Holdings is a Costa Rica-based company. But during that period, its directors or shareholders remained mystery till last week when a local tabloid, which, two years ago claimed to have interviewed the company's owner, named the individuals behind the company.

How did this company inherit the multibillion contract from Richmond? During the original contract, was there any clause that stated that in case of any failure by Richmond to generate electricity, the latter would assign another third party of its choice to undertake the tender? How did a dubious company, Richmond, which failed Tanesco and the government was allowed to chose its successor?

Was the due diligence conducted to establish the authenticity of the new successor of Richmond? If the ICC established that Richmond has no rights to demand any compensation from Tanesco, where did its inheritor get that legal rights of being compensated $65 million with interest?

It's obvious that there are still more questions than answers regarding the Dowans scam, but one day, history will judge those trusted by the public to oversee the affairs of Tanesco, which is currently in a dire financial situation.

Politically, those who were seen as victims of this scandal have finally won at the expense of the poor. Today, their stand is that we are paying the cost because of politically motivated decisions.

They are now pointing an accusing finger at Samuel Sitta and his team for being the source of what the country faces today. But while they might have won in the short-run, in the long-run, the price may be bigger than the billions granted by ICC.

While to the mastermind of the deal, this might be a big victory to majority of Tanzanians this is robbing the poor in the name of International Chamber of Commerce.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY



My Take: Angalia hapo kwenye red kuhusu uhovyo wa BRELA. Mafiosi kutoka Sicily wanaweza wakaja hapa kuanzisha makampuni na Brela ikawakubalia bila hata kujua anuani zao halisi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom